Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijui kwanini Ziyech anawekwaga benchi? Angalia pass za upendo anazotoa alafu angalia takataka za mbele zinafanya Nini alafu kuna lijitu linasema Ziyech achezi vizuri hiv unataka afanyaje ikiwa striker wetu hawana tofauti na mastrikers wa Tanzania prison, mbao fc
 
Hivi Zapacosta bado ni Chelsea?
Hii Chelsea inayocheza sio ile tunayoijua, ni nyingine kabisa
 
Sijui kwanini Ziyech anawekwaga benchi? Angalia pass za upendo anazotoa alafu angalia takataka za mbele zinafanya Nini alafu kuna lijitu linasema Ziyech achezi vizuri hiv unataka afanyaje ikiwa striker wetu hawana tofauti na mastrikers wa Tanzania prison, mbao fc
Preseason ndio kawaida yake, kila mtu acheze ndio maana akin a Drink water wanacheza. Mpaka mpira wachezaji wote 30+ watakuwa wamecheza
 
Bournemouth hata wakishuka tena Championship, hakika wataifunga tu Chelsea. Chelsea wameshatundikwa
 
Amando Broja ana miaka 19 tu, mrefu na ana mwili karibia na Haaland, yuko very clinical kwenye final third
Natamani kuona muunganiko wake na Haaland pale mbele kwnye

formation ya 4-2-4

formation ya 4-2-4

Mount---------------Broja ----------------Haaland --------------------------Ziyech

--------------------Jorginho-----------------------------Kante--------------------------

------Chilwell --------- Rudiger ----------- Silva -----------Azpilicueta---------

------------------------------------------Mendy------------------------------------------------

AU ya 4-2-2-2

---------------Broja ----------------Haaland --------------------------

Mount ----------------------------------------------------------Ziyech

------Jorginho-----------------------------Kante------------

Chilwell --------- Rudiger ----------- Silva -----------Azpilicueta

--------------------------------------Mendy------------------------------------
-
 
Haverts na Werner unawaweka wapi?
 
HAPPY BIRTHDAY PEDRO:

Tarehe kama ya leo 1987, alizaliwa aliyekuwa mchezaji wa Chelsea FC Pedro Rodriguez.🎂

Pedro akiwa Chelsea FC;

🏟Michezo 204.
⚽️Magoli 43.
🅰️Assists 28.
🏆Premier League.
🏆FA Cup.
🏆UEFA Europa League..

A brilliant player to watch on the pitch, Age with grace Pedro have a great day..
 
Kila formation lazima kuna mchezaji muhimu atatupwa nje kwa sababu wanaotakiwa ni 10 tu ukiondoa kipa
Huwezi kumuingiza moja kwa moja Broja kwenye first XI. Harvey's bado ana potential kubwa pale mbele. Uwepo wa Werner pale mbele ana usumbufu mwingi ambao ni hatari kwa timu pinzani, broja akitokea Sub ili APATE uzoefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom