Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea ipo kwenye hatua ya mwisho ya kumsajili goalkeeper Marcus Bettinelli kwa uhamisho huru.

NB: Kwanini Chelsea inamsajili huyu kipa? Mendy ataenda kushiriki kwenye michuano ya caf kwa hiyo Chelsea itabakiwa na kepa pekee na ukizingatia Chelsea hawana imani kabisa na kepa so why wanamsajili huyu kipa

Ubora wa huyu kipa

Nimemfuatilia huyu kipa aisee ni binge la kipa huyo vizuri one against one, yupo vizuri pia kwenye penalty, ana dominate eneo lake vizuri, anajua kujiposition na mwisho kabisa anafanya saves za maana.

Kwa ubora wake naona kabisa ataenda kuchukua kabisa nafasi ya kepa na Mendy akifanya masiala naona kabisa atakuwa chaguo la kwanza.
 
Kwa kuongezea kuondoka kwa Caballero Chelsea nafkri ni sababu pia
 
Acha we unasema ukweli ....huyu si alikuwa anawekwa mbao na areola Fulham au yupi

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Chelsea ipo kwenye hatua ya mwisho ya kumsajili goalkeeper Marcus Bettinelli kwa uhamisho huru.

NB: Kwanini Chelsea inamsajili huyu kipa? Mendy ataenda kushiriki kwenye michuano ya caf kwa hiyo Chelsea itabakiwa na kepa pekee na ukizingatia Chelsea hawana imani kabisa na kepa so why wanamsajili huyu kipa

Ubora wa huyu kipa

Nimemfuatilia huyu kipa aisee ni binge la kipa huyo vizuri one against one, yupo vizuri pia kwenye penalty, ana dominate eneo lake vizuri, anajua kujiposition na mwisho kabisa anafanya saves za maana.

Kwa ubora wake naona kabisa ataenda kuchukua kabisa nafasi ya kepa na Mendy akifanya masiala naona kabisa atakuwa chaguo la kwanza.
Huyu ni chaguo la 3, nafasi iliyoachwa na caballero
 
Taarifa
Screenshot_20210727-155946_Twitter.jpg
 
Tumeanza mazungumzo na sevila juu ya usajili wa jules kounde
Kounde yuko tayari kujiunga na chelsea, source fabrizio romano
 
Hii statement nililiona mahala nijikuta kucheka tu. Kumbe Simione aliichukulia Chelsea kawaida afundishwa adabu kabisa na soka pia
Sio huyo tuu hata toni kroos pia aliongea shit kuhusu Chelsea. Kwenye interview moja aliojiwa je ? Chelsea inakunyima usingizi?? Jamaa likajibu Chelsea hamnyimi usingizi na analala wala haiwazii Chelsea.
 
Chelsea ipo kwenye hatua ya mwisho ya kumsajili goalkeeper Marcus Bettinelli kwa uhamisho huru.

NB: Kwanini Chelsea inamsajili huyu kipa? Mendy ataenda kushiriki kwenye michuano ya caf kwa hiyo Chelsea itabakiwa na kepa pekee na ukizingatia Chelsea hawana imani kabisa na kepa so why wanamsajili huyu kipa

Ubora wa huyu kipa

Nimemfuatilia huyu kipa aisee ni binge la kipa huyo vizuri one against one, yupo vizuri pia kwenye penalty, ana dominate eneo lake vizuri, anajua kujiposition na mwisho kabisa anafanya saves za maana.

Kwa ubora wake naona kabisa ataenda kuchukua kabisa nafasi ya kepa na Mendy akifanya masiala naona kabisa atakuwa chaguo la kwanza.
Kuhusu hapo Mendy kwenda kucheza caf sidhan kama atakubaliwa, ndo yaleyale ya TT kusema Mendy anaumwa meno
 
Chelsea wanacheza vizuri, tatizo ni mbele. Tammy Abraham akipata mpira ni single minded, hana ubunifu kabisa
 
Ndo maana anatafutiwa timu asepe,

Hata amekula sana benchi baada ya Tuchel kutua pale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom