Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kubali tuu kijana ,buyern munich kawadhalilisha..

Harafu liverpool sio timu ya kututisha ..

Man city 5-0 liverpool (2017)

Man city 4-0 liverpool (2020)

Liverpool 1- 4 man city (2021)

Hakuna match ambayo liverpool katufunga 4-0

Harafu dogo fuatilia mpira ,hakuna game ambayo barcelona katufunga 4-0 ,uefa 2016 tulimfunga barcelona 3-1 ,acha ukilaza mkuu
Wewe unafurahia kuropoka tu na usiniite kijana mimi naweza kuwa size ya Baba yako
 
TT na Ziyech hawako vizuri na sasa management imeafiki kumuuza Napoli au AC Milan ambao wanamtaka. Mwakilishi kashaenda Milan kwa kupatania bei
 
Kuna mawili hapa tukimsubilia mwakani kumchukua kwa €68m, ushindani utakua juu sana na timu zingine zenye uwezo wapesa kama Barcelona, Juvetus na pia dau litapanda tu itakua zaidi ya hiyo. Bora kumchukua sasa hivi kwa €128m mwakani akifrop unaweza kumpiga bei hata €60m.
Hata hivyo Chelsea hawako tayari kusubiri, nilichosema Dortmund hawatakuwa tayari nao kuachia ofa kubwa msimu huu kwa sababu ikifika msimu ujao dau litakuwa dogo. Kwa tetesi za hivi punde Chelsea wako tayari kulipa dau Dortmund wanataka
"Norwegian journalist Jan Aage Fjortoft claimed that Chelsea are working hard to sign Dortmund’s Haaland and are confident that the high fee involved can be met."
 
Kai lile ni shati linalotembea uwanjani mmepigwa £72mil..

Kepa Lile ni pazia golini bado mkapigwa £72mil..

na mtaendelea kupigwa tu hakuna namna ...!
Kai tumepigwa ila katupa UEFA na kasharudisha pesa ake.

Pamoja na kupigwa kwake lakini kakunyosha kweli kweli Three times
 
TT na Ziyech hawako vizuri na sasa management imeafiki kumuuza Napoli au AC Milan ambao wanamtaka. Mwakilishi kashaenda Milan kwa kupatania bei
Ziyech nilimuona Kama ni next Fabrigas aise kwanini tunamuuza?
 
Ziyech nilimuona Kama ni next Fabrigas aise kwanini tunamuuza?
Hata me nashangaa huyu jamaa angekuwa anacheza na striker caliber ya suarez, Lewandoski n.k angekuwa na number kubwa ya assist hadi sasa kuna nafasi nyingi tunachezea, Debruen anapata sifa nyingi kwasababu assist zake zinatendewa kazi pale Man City.Ziyech hajafeli kama tunavyoaminishwa .
 
Timu kubwa na ndogo huonekana wakati wa kwenda sokoni kufanya manunuzi
  1. Chelsea wants to sign Haaland Euro 150m
  2. Man city want to sign Kane Euro 120m
  3. Man United wants to sign Sancho Euro 80m
  4. Liverpool want to sign ...........................? Euro ?m
  5. Arsenal want to sign Reuben Neves Euro 60m
 
Yah! You're right, kwenda Sokoni kufanya usajili na sio kupigwa kwani kupigwa pia kunaifanya Timu ionekane immature.

Moratta
Bakayoko
Kepa
Kai
Kai ameshalipa deni kwenye fainali ya UEFA ukiacha tu kuwa alifuga goal la ushindi lakini performance yake was amazing aliwavuruga Sana man city kwa movement zake pamoja dribbling pale mbele na Kama Pulisic angeitumia vizuri chance iliyotengenezwa na Kai, Kai angeondoka pia na assist.
 
Yah! You're right, kwenda Sokoni kufanya usajili na sio kupigwa kwani kupigwa pia kunaifanya Timu ionekane immature.

Moratta
Bakayoko
Kepa
Kai
Morata karudisha pesa. No profit no loss.
Kepa na Allison kwa sasa hawana tofauti.
Kai ameshalipa deni lake.

Pale liverkuku tumepigwa pakubwa sana. Jota, Alcantara, Keita hasara tupu
 
CL imeanza 1992 /93 kama sijaokosea ,sasa hao wamechukua CL lin ?

Yalikuwepo mashindano barani ulaya yanaitwa european cup miaka 55 ilianzishwa na badae ndio update ikatokea wakarekebisha na kuita CL then ,hiyo timu toka European cup iwe CL haijawahi chukua ,....

Hata Chelsea haikuchukua kipindi hiko ,imekuja kuchukua kwa Mara ya kwanza 2012 CL kwa iyo na nyie mbwa hio timu imewazid?

Timu mpaka sasa ishapotea kwenye ramani ya soka unalinganisha na city ,uko na akili timamu kweli

Tatizo madogo humu ni empty headed ,zero brain
Hebu rudia kusoma ulichoandika na nilichokuuliza,
 
Hata me nashangaa huyu jamaa angekuwa anacheza na striker caliber ya suarez, Lewandoski n.k angekuwa na number kubwa ya assist hadi sasa kuna nafasi nyingi tunachezea, Debruen anapata sifa nyingi kwasababu assist zake zinatendewa kazi pale Man City.Ziyech hajafeli kama tunavyoaminishwa .
Infact,hata Mimi nataka ziyech abaki
 
Yah! You're right, kwenda Sokoni kufanya usajili na sio kupigwa kwani kupigwa pia kunaifanya Timu ionekane immature.

Moratta
Bakayoko
Kepa
Kai
Mwenye pesa zake bana, na hiyo ndio sifa ya mwenye pesa, hata kama ni matakataka lakini chenji ipo, hatuingii sokoni kinyonge kama ninyi
 
Habari wana BLUES wenzangu, naona mnaendelea kufuatilia harakati za USAJILI.

Hilo dili la Haaland likifanikiwa utakuwa bonge la usajili, tangu aondoke Drogba na Costa the BLUES hatujabahatika kupata striker angalau kukaribia caliber za hawa jamaa.

Maybe Haaland anaweza kutufuta machozi. Pia dili ya Hakimi tamu sana, jamaa mzuri sana kwenye kushambulia kuassist na kufunga.

Haaland = €154M
Hakimi = 60M

TOTAL = €214M

Abromovich ametenga € 200M za usajili.

Nadhani tutawauza:-

Tomori = € 25M
Ermason = €17M (Hapa ajumlishwe kwenye dili ya Hakimi Inter wanamtaka)
Abraham = €40M

TOTAL = €82M

Hii €82M, tuongeze usajili wa Center Back mmoja (Mrithi wa babu Silva) au central mildfilder mmoja angalau mwenye caliber ya Fabrigas , kuongeza ubunifu pale katikati.

Kuhusu kuuzwa kwa Ziyech - Ac Milan, dah nadhani asiuzwe kwa sasa aachwe mwaka mwingine, pengine ataingia kwenye mfumo wa TT.

# THE BLUES, PRIDE OF LONDON
Hata mimi ningependa Ziyech abaki na akija Hakimi wangeelewana kweli kwa sababu ni Mmoroko mwenzake
Tatizo ni haendani na TT, nadhani kwenye kufuata maelekezo yake. TT ni kocha demanding kama PEP, usipofuata maelekezo yake anakutoa nje ya plan
Sasa Taarifa za ndani ya Chelsea zinadai kuwa kwa kuwa management imeridhilka na performance ya TT Zuiyech asiyefit kwenye plan zake ndie wa kuondolewa
Huwa kawaida mchezaji na Kocha wakitofautiana lazima mmoja atoke. Huwa kawaida Chelsea huwafukuza makocha wanaokosana na wachezaji na kusababisha poor performance
Safari hii ni mchezaji asiyepata na kocha ndie anatolewa kafara

Ziyech hayuko peke yake
  1. Giroud - ha fit kwenye mfumo
  2. Hakim Ziyech - hapatani na kocha
  3. Tammy Abraham - ha fit kwenye mfumo
  4. Marcos Alonso - anatakiwa sana Laliga na Serie A kwa hiyo atauzwa kwa sababu ya kuraise funds
  5. Emerson Palmieri - ha fit kwenye mfumo
  6. Ross Barkley - ha fit kwenye mfumo
  7. Michy Batshuayi - ha fit kwenye mfumo
  8. Andreas Christensen - kwa sababu ya swap deal ya Hakimi na - anabei nzuri kwenye ligi kubwa barani Ulaya kwa hiyo atauzwa kwa sababu ya kuraise funds
  9. Ruben Loftus-Cheek - ha fit kwenye mfumo

Thamani ya hao wachezaji

  1. Olivier Giroud - Free​

  2. Hakim Ziyech - $40 million

  3. Tammy Abraham $40 million

  4. Marcos Alonso $15 million

  5. Emerson Palmieri $15 million

  6. Ross Barkley $25 million

  7. Michy Batshuayi - $15 million

  8. Andreas Christensen - $40 million

  9. Ruben Loftus-Cheek $25million

Yah! You're right, kwenda Sokoni kufanya usajili na sio kupigwa kwani kupigwa pia kunaifanya Timu ionekane immature.

Moratta
Bakayoko
Kepa
Kai
Hao wote uliowataja walitoa michango Yao na wameipa taji club
Moratta- FA Vs nyumbu
Bakayoko- FA Vs nyumbu
Kepa- Europa ( mchango mkubwa ikiwemo kufuta penalty)
Kai- Uefa cup.....tuambie nyie ambao hamjapigwa Kwa alcantara, zile beki zenu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi ningependa Ziyech abaki na akija Hakimi wangeelewana kweli kwa sababu ni Mmoroko mwenzake
Tatizo ni haendani na TT, nadhani kwenye kufuata maelekezo yake. TT ni kocha demanding kama PEP, usipofuata maelekezo yake anakutoa nje ya plan
Sasa Taarifa za ndani ya Chelsea zinadai kuwa kwa kuwa management imeridhilka na performance ya TT Zuiyech asiyefit kwenye plan zake ndie wa kuondolewa
Huwa kawaida mchezaji na Kocha wakitofautiana lazima mmoja atoke. Huwa kawaida Chelsea huwafukuza makocha wanaokosana na wachezaji na kusababisha poor performance
Safari hii ni mchezaji asiyepata na kocha ndie anatolewa kafara

Ziyech hayuko peke yake
  1. Giroud - ha fit kwenye mfumo
  2. Hakim Ziyech - hapatani na kocha
  3. Tammy Abraham - ha fit kwenye mfumo
  4. Marcos Alonso - anatakiwa sana Laliga na Serie A kwa hiyo atauzwa kwa sababu ya kuraise funds
  5. Emerson Palmieri - ha fit kwenye mfumo
  6. Ross Barkley - ha fit kwenye mfumo
  7. Michy Batshuayi - ha fit kwenye mfumo
  8. Andreas Christensen - kwa sababu ya swap deal ya Hakimi na - anabei nzuri kwenye ligi kubwa barani Ulaya kwa hiyo atauzwa kwa sababu ya kuraise funds
  9. Ruben Loftus-Cheek - ha fit kwenye mfumo

Thamani ya hao wachezaji

  1. Olivier Giroud - Free​

  2. Hakim Ziyech - $40 million

  3. Tammy Abraham $40 million

  4. Marcos Alonso $15 million

  5. Emerson Palmieri $15 million

  6. Ross Barkley $25 million

  7. Michy Batshuayi - $15 million

  8. Andreas Christensen - $40 million

  9. Ruben Loftus-Cheek $25million

Yaani tuuze Christesen halafu tunabaki na Zouma. Tutakuja kulilia chooni walahi.

Hivi Toka TT amekuja perfomance ya Christesen mmeichukulia poa eh?
 
Yaani tuuze Christesen halafu tunabaki na Zouma. Tutakuja kulilia chooni walahi.

Hivi Toka TT amekuja perfomance ya Christesen mmeichukulia poa eh?
Nadhani hizo ni porojo za media tu, wamuuze Christasen na Rudiger katishia ataondoka 2022 free kama hatapewa mkataba wa miaka minne na malipo mazuri
Tutabakiwa na Zouma. Hapo kazi ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom