Hata mimi ningependa Ziyech abaki na akija Hakimi wangeelewana kweli kwa sababu ni Mmoroko mwenzake
Tatizo ni haendani na TT, nadhani kwenye kufuata maelekezo yake. TT ni kocha demanding kama PEP, usipofuata maelekezo yake anakutoa nje ya plan
Sasa Taarifa za ndani ya Chelsea zinadai kuwa kwa kuwa management imeridhilka na performance ya TT Zuiyech asiyefit kwenye plan zake ndie wa kuondolewa
Huwa kawaida mchezaji na Kocha wakitofautiana lazima mmoja atoke. Huwa kawaida Chelsea huwafukuza makocha wanaokosana na wachezaji na kusababisha poor performance
Safari hii ni mchezaji asiyepata na kocha ndie anatolewa kafara
Ziyech hayuko peke yake
- Giroud - ha fit kwenye mfumo
- Hakim Ziyech - hapatani na kocha
- Tammy Abraham - ha fit kwenye mfumo
- Marcos Alonso - anatakiwa sana Laliga na Serie A kwa hiyo atauzwa kwa sababu ya kuraise funds
- Emerson Palmieri - ha fit kwenye mfumo
- Ross Barkley - ha fit kwenye mfumo
- Michy Batshuayi - ha fit kwenye mfumo
- Andreas Christensen - kwa sababu ya swap deal ya Hakimi na - anabei nzuri kwenye ligi kubwa barani Ulaya kwa hiyo atauzwa kwa sababu ya kuraise funds
- Ruben Loftus-Cheek - ha fit kwenye mfumo
Thamani ya hao wachezaji
Olivier Giroud - Free
Hakim Ziyech - $40 million
Tammy Abraham $40 million
Marcos Alonso $15 million
Emerson Palmieri $15 million
Ross Barkley $25 million
Michy Batshuayi - $15 million
Andreas Christensen - $40 million
Ruben Loftus-Cheek $25million