Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Usitufananishe sisi na man u kabisa unatukosea heshima sisi tunapokuwa na jambo letu nobody can stop sisi tunasumbuliwa na team za kupack bus lakini sio zinazoshambulia kama man city hao Man city utawakataa leo
Hahaha sometimes inabidi mtu umuamini kocha kuliko wachezaji. Wewe sasa hivi unamuamini kocha
 
Usitufananishe sisi na man u kabisa unatukosea heshima sisi tunapokuwa na jambo letu nobody can stop sisi tunasumbuliwa na team za kupack bus lakini sio zinazoshambulia kama man city hao Man city utawakataa leo
Hakika leo man city atapigiwa mpura mwingi Sana na kumbua AGUERO bado hajabeba taji la UEFA anazindia na KANTE ambae yeye ameshika kombe la UEFA
 
Fainali zote za uefa tulikuwa na wachezaji tegemezi karibia kila sekta na zote tulifanya vizuri
Goalkeeper Peter Cech
Beki John Terry
Kiungo super Frank
Forward Drogba

Leo mchezaji tegemezi ni ngolo kante pekee. Hao waliobaki labda muujiza utokee. Tena wakifanya ujinga kama ile gemu ya Leicester tutapigwa hata goli tano.

De bruyne ni mwiba,kwakweli leo nimejiandaa kupokea kipigo heavy

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Waungwana mfahamu kuwa Mchezo wa leo ni fainali sio ligi na mchezo unachezwa mara moja tu kwa dakika tisini. Timu zote mbili Chelsea na Man City, wachezaji wote wa timu mbili yaani wachezaji wa Chelsea na Man City na makocha wote wawili Pep na TT wote hili kombe wanalihitaji sana. Niwambie tu timu zote mbili leo zitacheza kwa nidhamu kubwa mno, pia tusitalajie mchezo mzuri bali tutalajie mchezo mgumu sana. Timu zote mbili naona zikiingia kwa mfumo wa kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza. Pep tayari ana onyo kutoka kwa TT hivyo hawezi kuja kijinga jinga tu, akija kijinga jinga tena atapokea za uso. TT nae anaelewa uzuri wa Man City na madhaifu ya safu yake ya ushambuliaji hivyo lazima leo atabadilika tu.

Mshindi wa leo atatokana na mbinu tu, na si ubora wa wachezaji. Mchezo wa leo ndio mtajua umuhimu wa kocha ama mwalimu katika mpira. Leo msitishwe na majina ya wachezaji kama KDB, Mahrez, Foden, Gundogan, Dias, Rudiger, Kante, Mount, Pulisic na wengineo wote. Hao wote na wengineo leo mtawakataa na kusema ndio hawa kweli, naam watakuwa wao na wala si wengine. Leo ni vita ya mbinu tu, leo ni ugomvi baina ya TT na Pep hao wachezaji wataingia uwanjani wakiwa kama wajumbe wa kufikisha hizo mbinu za walimu wao.

Msitarajie mechi kuanza kwa kasi, mechi itaanza kwa kila kocha kumsoma mwenzake yuko vipi ama amekuja vipi. Na kipindi cha kwanza kinaweza malizika kwa suluhu ya bila kufungana, kipindi cha pili kitabadilika kidogo tofauti na kipindi cha kwanza. Kama nilivyo sema huko juu leo timu zote mbili zitacheza kwa kujilinda sana, mchezo utabadilika baada ya timu moja kupata angalau goli moja.

Kwa uchache hayo ndio naona leo yakienda kutokea, karibu kwa masahihisho.
 
Kikosi Cha Chelsea ni hikihiki kinachocheza reo kilichomtoa man city nusu fainal na ndio kikosi kilichomfunga man city 2 moja reo man city hatoboi
 
Fainali zote za uefa tulikuwa na wachezaji tegemezi karibia kila sekta na zote tulifanya vizuri
Goalkeeper Peter Cech
Beki John Terry
Kiungo super Frank
Forward Drogba

Leo mchezaji tegemezi ni ngolo kante pekee. Hao waliobaki labda muujiza utokee. Tena wakifanya ujinga kama ile gemu ya Leicester tutapigwa hata goli tano.

De bruyne ni mwiba,kwakweli leo nimejiandaa kupokea kipigo heavy

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Mkuu na we punguza mteru,...hyo fainali ya 2012 Mbona tulicheza bila John Terry ..na winger ya kushoto alicheza bwana mdogo Bertrand ....kwanini Una mashaka na uwezo wa Mendy, thiago Silva,rudiger,? ...timu zote zinazoingia final inamaana zimefanya vizuri hatua zilizopita na zina litaka kombe......kwani viralleal wameshindaje mbele ya nyumbu ya kina cavani, Bruno, rashford?
 
Waungwana mfahamu kuwa Mchezo wa leo ni fainali sio ligi na mchezo unachezwa mara moja tu kwa dakika tisini. Timu zote mbili Chelsea na Man City, wachezaji wote wa timu mbili yaani wachezaji wa Chelsea na Man City na makocha wote wawili Pep na TT wote hili kombe wanalihitaji sana. Niwambie tu timu zote mbili leo zitacheza kwa nidhamu kubwa mno, pia tusitalajie mchezo mzuri bali tutalajie mchezo mgumu sana. Timu zote mbili naona zikiingia kwa mfumo wa kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza. Pep tayari ana onyo kutoka kwa TT hivyo hawezi kuja kijinga jinga tu, akija kijinga jinga tena atapokea za uso. TT nae anaelewa uzuri wa Man City na madhaifu ya safu yake ya ushambuliaji hivyo lazima leo atabadilika tu.

Mshindi wa leo atatokana na mbinu tu, na si ubora wa wachezaji. Mchezo wa leo ndio mtajua umuhimu wa kocha ama mwalimu katika mpira. Leo msitishwe na majina ya wachezaji kama KDB, Mahrez, Foden, Gundogan, Dias, Rudiger, Kante, Mount, Pulisic na wengineo wote. Hao wote na wengineo leo mtawakataa na kusema ndio hawa kweli, naam watakuwa wao na wala si wengine. Leo ni vita ya mbinu tu, leo ni ugomvi baina ya TT na Pep hao wachezaji wataingia uwanjani wakiwa kama wajumbe wa kufikisha hizo mbinu za walimu wao.

Msitarajie mechi kuanza kwa kasi, mechi itaanza kwa kila kocha kumsoma mwenzake yuko vipi ama amekuja vipi. Na kipindi cha kwanza kinaweza malizika kwa suluhu ya bila kufungana, kipindi cha pili kitabadilika kidogo tofauti na kipindi cha kwanza. Kama nilivyo sema huko juu leo timu zote mbili zitacheza kwa kujilinda sana, mchezo utabadilika baada ya timu moja kupata angalau goli moja.

Kwa uchache hayo ndio naona leo yakienda kutokea, karibu kwa masahihisho.
Mkuu angalia mchezo mitatu walizokutana Kati ya man city na chalsea man city kashinda Mara moja chalsea kashinda Mara mbili najua hapo utaenderea kuona tofauti kwa timu mbili zilizoingia fainally kwer nzote ni mbola ila ludi kuchambuachezaji mmoja mmoja bado tuuu Chelsea utawapatia nafasi ya kusonga mbele zaidi ya kuchukua kikombe Cha reo
 
Mkuu na we punguza mteru,...hyo fainali ya 2012 Mbona tulicheza bila John Terry ..na winger ya kushoto alicheza bwana mdogo Bertrand ....kwanini Una mashaka na uwezo wa Mendy, thiago Silva,rudiger,? ...timu zote zinazoingia final inamaana zimefanya vizuri hatua zilizopita na zina litaka kombe......kwani viralleal wameshindaje mbele ya nyumbu ya kina cavani, Bruno, rashford?
Oky tusubiri tuone leo nani atatutoa kimasomaso

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Ukiondoa utegemezi wa Mchezaji mmoja mmoja, Kitimu tuko vizuri nyuma na katikati.

Tatizo ni kule mbele hatuna wachezaji wakatili mbele ya goli, wenye uwezo wa kumaliza mechi.

UEFA ianzishe sheria ya kuazima wachezaji kwenye special mechi kama fainali , tungeenda pale spurs tumuazime KANE mechi ya leoView attachment 1801075
Hicho ndio kitatucost sana, tunacheza na timu inayopachika magoli hovyo hovyo. Huku Timo Warner short on target 30
anaweza pachika goli moja ,kuna kazi kubwa.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Unajua mara ngapi Aguero hajakuepo na City anashinda? Siku hizi mlinde Mahrez kuliko Jesus na Aguero.
We unaongelea tulitufunga wakat kocha alikua ni yule ndugu yake na Arteta, Lampard. Sahv usifananishe hii timu na utopolo ule w Lampard timu yoyote ilikuaga inajichukulia tu point kwetu kirahisi.
 
lembu Leo Chelsea tuna shinda kumbuka hii ni fainal na wachezaji wetu wanalitaka Hili kombe kweli kweli so tegemea Leo tutapiga mpira mkubwa kama ule wa Madrid sijui wewe una wasi wasi gani hao Man city una waoverrate Sana ila Leo utawakataa mzee namna tutakavyowashinda kimbinu Man city ni weupe wakikutana na team yenye mbinu ndio maana ole anamgonga kweli kweli Guardiola Make it in your mind.

Mkohoti
Cash Money Forever
Papaa Gx
42774277
Sikatai tutashinda kwa sababu wachezaji wanajua ni fainali na wanalitaka sana hilo kombe ila tujue pia kuwa PEP na wachezaji wanahamu na hilo kombe pengine kuliko hata sisi na wachezaji wa kulibeba hilo kombe wanao tena wamekamilika. Unaweza shangaa leo ndio akina Werner na wenzake wa kupanic ndio wakapanic kabisa. Wachezaji wa kuaminiwa Chelsea nio wachache sana na ndio shida tena hapo

  1. Mendy
  2. Silva
  3. Rudiger
  4. Kante
  5. Mount
Waliobaki hawana consistency itakayofanya waaminiwe
 
Mkuu umeelewa nilicho kiandika? Hebu rudia kusoma aya ya kwanza na ya pili kwa umakini.
Mkuu mimi nimekuelewa. Lakini kaa ukijua man city hana watu wa kulinda lango muda wote. Pale nyuma beki ni Diaz tu. waliobaki wapo kawaida.

Hata kwa upande wa golikipa. Ederson na Mendy wamecheza match 11 uefa. Mendy ana cleansheet 8 wakati Ederson ana cleansheet 7.

Ederson siyo kama ana cleansheet nyingi sababu anadaka sana, City wanalindwa na viungo ila nyuma wapo kawaida tu.
 
lembu Leo Chelsea tuna shinda kumbuka hii ni fainal na wachezaji wetu wanalitaka Hili kombe kweli kweli so tegemea Leo tutapiga mpira mkubwa kama ule wa Madrid sijui wewe una wasi wasi gani hao Man city una waoverrate Sana ila Leo utawakataa mzee namna tutakavyowashinda kimbinu Man city ni weupe wakikutana na team yenye mbinu ndio maana ole anamgonga kweli kweli Guardiola Make it in your mind.

Mkohoti
Cash Money Forever
Papaa Gx
42774277
Man city sijui atacheza mbinu gani leo. maana akifunguka anakufa kama madrid.

Akipaki basi sina imani kama atatoboa sababu hana watu wa kupaki basi. Ile match ya pili na psg alipaki basi ila pochetino akawa mdwanzi. We mbappe anaanziaje benchi match kama ile?
 
Inasemekana Mbappe Alikuwa na injury
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom