Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Toa source lembu tafadhaliUEFA yawapiga ban Real Madrid, Barcelona and Juventus kushiriki mashindano ya UEFA kwa miaka miwili
Toa source lembu tafadhaliUEFA yawapiga ban Real Madrid, Barcelona and Juventus kushiriki mashindano ya UEFA kwa miaka miwili
Aaah wapUEFA yawapiga ban Real Madrid, Barcelona and Juventus kushiriki mashindano ya UEFA kwa miaka miwili
Huuu ugomvi hauwezi malizwa kizembe hivyo wakipigwa bana wanaenda kushtaki hizi timu nyingine kubwa kwanini zilivunja mkataba na kujitoa kwenye superleague unadha soo litaishaje hii ngoma ngumu sanaUEFA yawapiga ban Real Madrid, Barcelona and Juventus kushiriki mashindano ya UEFA kwa miaka miwili
Mi bhangi inakusumbua,,Muda wenu wa kuendelea kukaa kwenye hili jukwaa lenu unaendelea kupungua .29 najua hatutowaona humu .

Ee
Haswa! Nililisema hili siku tulipobutuliwa na Aston Villa game no. 38Wana BLUES wenzangu tujiandae kisaikolojia kupokea kipigo Jumamosi, sioni uwezo wa washambuliaji wetu kufunga magoli.
Labda tuje na mbinu ya kuipelekea match kwenye mikwaju ya penati, na wapigaji wa penati hatuna, Mendy mbovu kwenye kudaka penati.
Tujiandae kumeza kidonge kichungu.
Tunashinda tena mapemaWana BLUES wenzangu tujiandae kisaikolojia kupokea kipigo Jumamosi, sioni uwezo wa washambuliaji wetu kufunga magoli.
Labda tuje na mbinu ya kuipelekea match kwenye mikwaju ya penati, na wapigaji wa penati hatuna, Mendy mbovu kwenye kudaka penati.
Tujiandae kumeza kidonge kichungu
Tuombe Mungu bahati iwe upande wetu.
Kovacic ana injury?Timu yetu imefika salama nchini Ureno. Mapema leo ilifanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Cobham.
Ongeza na kudorora kwa form ya team nzima kuanzia kipigo na Arsenal, Leicester city FA final na Aston Villa, timu itaingia kwenye fainali hii ikiwa haina confidenceWana BLUES wenzangu tujiandae kisaikolojia kupokea kipigo Jumamosi, sioni uwezo wa washambuliaji wetu kufunga magoli.
Labda tuje na mbinu ya kuipelekea match kwenye mikwaju ya penati, na wapigaji wa penati hatuna, Mendy mbovu kwenye kudaka penati.
Tujiandae kumeza kidonge kichungu
Tuombe Mungu bahati iwe upande wetu.
Hi mechi tunaishida tu vizuri bila shida 2-1, wachezaji wote wako motivated na high morale ya kuchukua UEFA, usilinganishe na mechi ya Astoni Villa tulikua na option za kufuzu nyingi tu, katika hili kombe option ni moja kushinda tuLine kesho kwenye formation ya 3-4-3
Werner---Havertz-----Mount
Alonso ---- Kovacic --- Kante ----- James
Rudiger ---- Silva ------ Azpilicueta
Mendy
Sub
Kepa Chilwell Christansen Jorgninho Odoi Pulisic Ziyech Tammy Abraham Giroud