Na wewe uliikosa maana yangu, nimezungumzia usajili na masuala mazima ya replacement. Rudi kwenye mada yangu, ukinielewa nami nitakuelewa
Kwa kunukuu, ulijibu maoni yangu haya hapa
Wachezaji wafuatao ni lazima wafanyiwe replacement
- Zouma - Anacheza vizuri ila ni risk player
- Jorginho - Hana consistency
- Emerson - amepoa sana
- Giroud - apishe damu mpya, ni mfungajio mzuri lakini sio level ya ubingwa wa EPL
- Tammy Abraham - Ni mfungaji mzuri ila sio kwa level ya ubingwa wa EPL, labda kama lengo letu ni top 4 tu
Wachezaji wanaotakiwa
- Striker level ya magoli 20+ kwa msimu 80m
- CB level ya Silva 50m
- Kiungo mfungaji wa 10+ goals kwa msimu 50m
Angalau zitumike 180m
Wewe ukajibu hivi
Tulimuuza Juan Matta kwa sababu kama hizi, alipokwenda ManU akawa tishio. Kwa sababu zako 4 inapaswa na Thiago naye apishe damu mpya. Kwenye mpira unaangalia uwezo wa mtu sio damu changa sijui mpya. Romario amestaafu akiwa na Umri gani? Patrick M'Boma? Madaraka Suleiman? Hawa wote walikuwa aged ila walikuwa wazuri kufunga. So walidumu. Kuwa na Backup kijana ni nzuri kwa future, ila ni ujinga kupoteza mechi, mna mfungaji eti kisa ni ana umri mkubwa!
Nikakujibu kwa kurefer maoni yangu ya msingi baada ya wewe kujibu na kujichanganya sana mara akina mboma aged mara madaraka suleiman, mara Juan Matta tulikosea mara blaa blaa nami nikakujibu hivi
Usimlinganishe Silva na OG wala OG na Kane au Haaland!!!!
OG ni striker na Silva ni CB
OG ni striker wa goli 7 au 8 akizidi sana 10+ kwa msimu Kane ni striker wa goli 20+ kwa msimu
Haaland ni striker wa goli 20+ kwa msimu
Hata wewe ungekuwa kocha ungekuwa na mahaba na Tammy na OG
Kama tunataka ubingwa OG hafai wala Tammy hafai
Matta sio level ya Ubingwa na ndio maana Man United wamefanya vizuri baada ya kumuweka benchi na kuwatumia zaidi vijana
OG tunamzungumzia kwa umri wake in relation na yeye peke yake, kuna striker mwingine katika age hiyo anafunga vizuri kama Ibrahimovich
So kama una agenda ya kumtetea OG usitumie mifano ya wengine binadamu hawalingani kabisa
Sorry sir sasa naanza kuelewa uwezo wako wa kuchambua mada ktk michezo sio mzuri