Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wanaume tukibeba UEFA tunakuomba ujipitulishe hapa tena na kanga 1 mrembo
Watkins piga hawa mbuzi..

Yaani unashindwa kumfunga Villa ili ujiakikishie top four unawaza bahati nasibu za UCL..Pep atawararua kama hana akili nzuri..jumamosi sio mbal
 
Hili jukwaa limekimbiwa kama mbio za Marathon na kina Cash Money [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dean Smith kata hicho kimdomo cha huju mjerumani aliyeishindwa PSG
 
Watkins piga hawa mbuzi..

Yaani unashindwa kumfunga Villa ili ujiakikishie top four unawaza bahati nasibu za UCL..Pep atawararua kama hana akili nzuri..jumamosi sio mbal
Katiba inakuruhusu uropoke uwezavyo ilimradi usijichanganye sababu hulipii vat zaidi ya kiherehere chako tu binafsi
 
😀😁😂🤣😃😄😅😆🙄🙄🙄🙄🙄
Screenshot_20210523-192519_Goal Live.jpg
 
Chances wastage itatugharimu the Bluz fainali ya UEFA dhidi ya Man City.

Azip is red carded.
 
Katika mpira kubebwa na kubebana kumo. Villa tulimbeba msimu uliopita hakushuka daraja, msimu huu mechi yao kabla na nyinyi alitusaidia kiukweli.

Mkitoka hapo nendeni mkalike page ya Spurs insta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom