Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ramires is good too ila naona kama chelsea ina wachezaji wengi sana nadhani wengine watatemwa msimu ujao

Ramires bado..afu the better u r the more players u nid to have maana ligi za kucheza zipo nyingi pia.
 
True. watu wanahamia kwa wingi. Huyu Di Mateo anaweza kuwa kocha wa kwanza kumaliza msimu baada Mourinho kama sikosei

Na mm nimemkubali ametulia mno aisee. N he is full of surprises yan maana nlivoona kikosi cha leo nliona kama kakosea...how wrong i was.
 
Stamford Bridge now the garden of EDEN, you get everything you want always.
 
Na mpira umeisha....2-0.
Chelsea emerge the winners once again...thrice in a row.
 
good thing in life is winning when you spend alot of time,energy in finding what you want Chelse want a real team to beat their rivals this is a nice start ingawa inabidi coach awe makini kwenye upangaji wa timu
 
Apo mwisho unamaanisha nini??!
 
Nasikitika msimu huu zile penati zetu zimehamia kwenu

Chelsea-v-Newcastle-Eden-Hazard-pa_2817351.jpg

Chelsea-v-Newcastle-Eden-Hazard-Fernando-Torr_2817357.jpg
 
All in all thumbs up to CHELSEA fans
andybird314 nimegundua kama wengi wa mashabiki wa chelsea wangekua makocha basi jana tungefungwa goli nyingi mno...
I always love th surprises RDM pulls out..huwez predict atampanga nani wapi...ndo kilichotupa ushindi. Newcastle kwa spidi yao jana wangewaonea sana terry na lampard na essien...
Plus alitaka bertrand apate confidence na kijan hakutuangusha.
All in ol he is th best coach n he knows how to use his players.
 
Last edited by a moderator:

Hata kwenye final wengi hawakumwamini yule dogo ila hi did all he could,pia chelsea ina wachezaji wengi wazuri so msimu huu hautakuwa kama uliopita yaan ikufungwa ovyo
 
Jamani hizi penaly sio kama zile za Man U kwan iwao walikuwa wanapewa kabisa sisi ni kutokana na makosa ya wachezaji pinzani
 
Jamani hizi penaly sio kama zile za Man U kwan iwao walikuwa wanapewa kabisa sisi ni kutokana na makosa ya wachezaji pinzani

Watasema sana msimu huu..
Hapa nangalia wapinzani wakicheza nione kama watatupa shida nimejua asenali na man u msimu huuzWACHUMba bado liver na man city..ngoja nione.
 
Hivi morinho angekua chelsea angemnunua victor moses? If hes that good mbona madrid barca man utd milan hawajamuulizia... Ndo maana mi naomba fergie akistaafu wasije wakamleta mediocre coach pale utd coz ndo ataanza kununua wachezaji wa ajabu.. Next year kama pep guardiola ataenda chelsea mnafikiri moses atapata namba? Kinachompeleka pale ni hela.. Can u really replace drogba with moses?
Hiyo kasumba mubaya sana, yaani mchezaji mpaka akipige Madrid,Barca or Man U ndio anakuwa wa ukweli, wangapi wanapiga vitu vya ukweli hawapo hizo timu.Acha meneno mbovu mbovu. Kama hivyo siwange chukua CL kila msimu,mbona wana mbwela bwela tu (Madrid mpaka sasa ana point 1,Man U pnt 3, chelsea 9).. Time will tell.

Gooooooaaaaalllllll...Eden Hazard converts the penalty. Nyie endeleeni kuwakata ndani ya 18 sisi tuwaonyeshe mambo...

Maneno imekuwa mingi mingi ka ma fans wa Arsenal na Man U. Ndio kwanza sufuria liko jikoni hata maji hayajapata moto unataka kuweka unga.Subirini
 
Maneno imekuwa mingi mingi ka ma fans wa Arsenal na Man U. Ndio kwanza sufuria liko jikoni hata maji hayajapata moto unataka kuweka unga.Subirini
Giro, tusubiri nini sasa...yani umekuta watu mezani alafu unauliza wanafanya nn!??? thou must b blind boss!!!
SHTUKA..Chelsea damu!
 
Last edited by a moderator:
Hakika kwa Eden Hazard, Chelsea imelamba dume...jamaa ni mkali sana..na hapo lazima Torres afunge sana magoli....

Huyo bwana mdogo sijui kwanini Man U tulimwachia aende darajani..aarrrgghhh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom