Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi siwezi bishana na kichaa ,kwa sababu anajua kupayuka tu bila sababu ...

Chelsea ni underdog kwa city ,mfano mzuri itakuwa jmoss ..

Final uefa ,Chelsea vs city ,Chelsea ni underdog tu
Unasemaje mpaka hapo??? Wewe ni kichaa square! Kwenye mashindano ya UEFA city ni underdog Kwa Chelsea, pale istanbull kipara kitaota nyasi!

Chelsea bingwa wa UEFA no doubt
 
Madrid - Jumatano
City - Jumamosi
Arsenal - jumatano
Leicester - Jumapili
Leicester - Jumatano
Villa - Jumamosi

Wachezaji wetu wanachoka balaa.

Mechi ya jana wachezaji walicheza kwa style ya kupoozesha mwili.
Kweli mkuu. Tempo yao haikuwa ile tuliyozoea kupata raha. Niliangalia mechi hadi pale Aguero alipompasia penati Mendy, nikaenda kufanya mambo mengine.
Abarikiwe sana Aguero.
 
Kupoteza hii match ni nzuri zaidi kwa city kuliko tunge win ...

Huenda tungeshinda ,tungejipa matumaini hewa juu ya final ,but pep ametoka na kitu kuhusu hii game ..

Yes mmetufunga fa ,EPL consecutively ,but bado tuna nafis zaidi kukutana final..

Kwa upande wetu hii match haina madhara yeyote ,ila imetupa onyo 29 may ....

Come on cityzen
Hiv umeanza kuangalia au kufatilia mpira mwaka gan nina wasi wasi kuwa ww ni shabiki wa arsenal ulie amua kujiriwazia man cty ww huyo kipepeo chako hamuwezi TT HATA KIDGO rudi kwa arteta ndio kocha wako huku utaumia sana wenzako sie tukiingia FINAL HATUNA MASIHARA TUNA FANYA YETU THEN KIMYA PIGA KELELE SSA WW
 
OK chukuen CL sasa ...

Chukueni FA ..

Team imejaa vilaza tuu ,hayajui mpira ..

Ni kulopoka tuuu , ..

Nishasema bado tunanafasi kubwa tu CL kama mnaona nyie mnastahili kuchukua CL nenden mkachukue hata saizi kenge nyie
 
Madrid - Jumatano
City - Jumamosi
Arsenal - jumatano
Leicester - Jumapili
Leicester - Jumatano
Villa - Jumamosi

Wachezaji wetu wanachoka balaa.

Mechi ya jana wachezaji walicheza kwa style ya kupoozesha mwili.
Ndio maana timu kubwa kama Chelsea inatakiwa kuwa na timu A na B zenye uwezo unaofanana, timu C ndio iwe ya Karabao cup NK
Kumbuka pia sio wachezaji wote wanaochoka, mimi naona kuanzia mabeki wa pembeni, viungo na washambuliaji ndio wanaochoka kwa sababu wanakuwa busy sana kila saa, Kipa na CB wanaweza wakawa walewale. Kwa hiyo TT anaweza kuwarotate wachezaji wanaoonekana wamechoka au kufululiza kucheza sana kama jana alivyofanya kwa Mount, Benchilwell, Havertz na Silva hata benchi hawakuwekwa
Kwa rotation hii timu inakuwa fresh kila mechi
Zimebaki za ligi tatu tu, hiyo ya Leicester city ni mechi ndogo kwa sababu LCFC hawana timu pana na wataingiza wacheza wamechoka na kuwa na confusion kubwa kwa sababu ya kutolewa top 4 na hivyo tutajipigia kirahisi tu. Mechi na City UCL wataingia wakiwa na hofu ya kufungwa mechi mbili mfululizo na sisi tutaingia tukiwa na confidence na uchu wa kunyanyua Ndoo kubwa yenye heshima Ulaya ambayo akina Bayern, Real Madrid, PSG na wao City wanaimezea mate
 
Naomba nitoe angalizo hapa kuhusu ile penalti ya Aguero
Aguero hakupiga ile penalti vibaya au kwa bahati mbaya, alipanga tena sio chini ya wiki kuwa akipata fursa ya kupiga penalti atatumia mtindo huo ili kuiaga Man City kwa mbwembwe za staili ile.
Wachambuzi wengi wa mpira akiwemo Michael Owen amesisitiza kuwa ile penalti ilipigwa vizuri japo yeye Owen hakuipenda ile penalti na angekuwa yeye ndie mpigaji asingepiga penalti kama ile

Kuna staili kama tatu za za kupiga penalti

  1. Kuna penalti ya kumhadaa kipa na kupiga upande tofauti, hizi huwa haitumii nguvu nyingi - mfano zile penalti za Jorginho
  2. Kuna penalti za kupipiga shuti la nguvu ili hata kipa akiifuata asiweze kudaka - Kane anatumiaga sana hii
  3. Kuna penalti za kutumia staili namba 1 na 2 kwa pamoja
Sasa jana Aguero yeyealiamua kutumia staili ile ya kwanza kwa kuuchupa mpira kwa kitaalamu inaitwa "Panenka Penalty" inaitwa pia Spoon style yaani penalti ya kijiko akitegemea Mendy angedive ila Mendy alisita kudive na ndio maana akaudaka kwa urahisi tena kwa mkono mmoja wa kushoto ili kuonyesha madharau kwa sababu mtindo kama huu huwa ni mtindo wenye lengo la kumzalilisha kipa. Makipa wanaujua huo mtindo na Mendy alihisi Aguero angeutumia huo mfumo ambao kihistoria umetumiwa na Legend wa Man City aitwaye Billy Meredith miaka 70 kabla ya Antonio Panenka kuutumia katika mashindano ya UEFA ya mwaka 1976.

Maelezo zaidi nimeweka hapo chini

Tafsiri ya hiyo Penalti

Panenka is a technique used while taking a penalty kick in which the taker, instead of kicking the ball to the left or right of the goalkeeper, gives a light touch underneath the ball, causing it to rise and fall within the centre of the goal, deceiving the goalkeeper who is counted on by the taker to have guessed a side and committed a dive away from the centre. It was first believed to have been used by Czech player Antonín Panenka, who introduced this technique to the world in the 1976 UEFA European Championship final, when he beat West German goalkeeper Sepp Maier to claim the title for the Czechoslovakian national team.

Kwa amneno ahya hata ile Twitter ya Aguero ya kuomba msamaha isingestahili ndio maana hata PEP alipoulizwa kuhusu hiyo penalti ya Aguero alisema ni maamuzi yake hakuseme kwa maneno mengi. Akijua kuwa Aguero alifanyia hadi mazoezi ya kupiga penalti kama ile
Kwa ufupi au kuhitimisha, mfumo wa kumhadaa kipa yaani mtindo ule namba moja una riski nyingi na sio mtindo mzuri wa kupiga penalty na ni mfumo wenye lawama nyingi kama penalti imekataa
 
Naomba nitoe angalizo hapa kuhusu ile penalti ya Aguero
Aguero hakupiga ile penalti vibaya au kwa bahati mbaya, alipanga tena sio chini ya wiki kuwa akipata fursa ya kupiga penalti atatumia mtindo huo ili kuiaga Man City kwa mbwembwe za staili ile.
Wachambuzi wengi wa mpira akiwemo Michael Owen amesisitiza kuwa ile penalti ilipigwa vizuri japo yeye Owen hakuipenda ile penalti na angekuwa yeye ndie mpigaji asingepiga penalti kama ile

Kuna staili kama tatu za za kupiga penalti

  1. Kuna penalti ya kumhadaa kipa na kupiga upande tofauti, hizi huwa haitumii nguvu nyingi - mfano zile penalti za Jorginho
  2. Kuna penalti za kupipiga shuti la nguvu ili hata kipa akiifuata asiweze kudaka - Kane anatumiaga sana hii
  3. Kuna penalti za kutumia staili namba 1 na 2 kwa pamoja
Sasa jana Aguero yeyealiamua kutumia staili ile ya kwanza kwa kuuchupa mpira kwa kitaalamu inaitwa "Panenka Penalty" inaitwa pia Spoon style yaani penalti ya kijiko akitegemea Mendy angedive ila Mendy alisita kudive na ndio maana akaudaka kwa urahisi tena kwa mkono mmoja wa kushoto ili kuonyesha madharau kwa sababu mtindo kama huu huwa ni mtindo wenye lengo la kumzalilisha kipa. Makipa wanaujua huo mtindo na Mendy alihisi Aguero angeutumia huo mfumo ambao kihistoria umetumiwa na Legend wa Man City aitwaye Billy Meredith miaka 70 kabla ya Antonio Panenka kuutumia katika mashindano ya UEFA ya mwaka 1976.

Maelezo zaidi nimeweka hapo chini

Tafsiri ya hiyo Penalti

Panenka is a technique used while taking a penalty kick in which the taker, instead of kicking the ball to the left or right of the goalkeeper, gives a light touch underneath the ball, causing it to rise and fall within the centre of the goal, deceiving the goalkeeper who is counted on by the taker to have guessed a side and committed a dive away from the centre. It was first believed to have been used by Czech player Antonín Panenka, who introduced this technique to the world in the 1976 UEFA European Championship final, when he beat West German goalkeeper Sepp Maier to claim the title for the Czechoslovakian national team.
Hawezi kupata chance nyingine aguero ,anajutia alichofanya so far ..

Navomjua pep ,huyo aguero hata bench hataliona CL final ..

Hizo media zimekuwa zikimshambulia pep kiwa why hawachezeshi kina sterling ,aguero ,jesus uefa ,ila watakuwa wamepata majibu ...

Pep amejitahid sana kuwawapa nafasi waoneshe uwezo ,ili wachezeshwe CL wameshindwa ,..

Ndio maana wanaingia uwanjan wanaume wakiwa wameshamaliza kazi ..
 
Hata hivyo Aguero ameshaaga mnamtakia nini tena, na akija Chelsea atawaliza sana hata kama akipewa dk chache
Man city ninyi wapuuzi kweli kweli. Mafanikio mlionayo ni kwa sababu ya Aguero
Aguero amekuwa na respect na timu, alipewa ofa nyingi kwenye klabu kub wa akaamua kuwa mwaminifu kwa Man City ila nyie mnataka kumlipa hivyo
 
Mpira wa striker mmoja kukaa mbele kusubili wamrushie mpira ushapitwa na muda ...

Saizi ni kushambulia wote pamoja ,kurudi nyuma wote ndio modern football ...

Ndio maana morhno mpaka sasa anazidi kupotea kwenye anga za mpira ,analeta mambo ya kizaman

Aguero hawezi tena style ya pep so atupishe tu ,..
 
We nguruwe tafuta namna ya ku unlock defense ya Chelsea kwanza.
Kupoteza hii match ni nzuri zaidi kwa city kuliko tunge win ...

Huenda tungeshinda ,tungejipa matumaini hewa juu ya final ,but pep ametoka na kitu kuhusu hii game ..

Yes mmetufunga fa ,EPL consecutively ,but bado tuna nafis zaidi kukutana final..

Kwa upande wetu hii match haina madhara yeyote ,ila imetupa onyo 29 may ....

Come on cityzen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom