Yule Timo warner hafungi lakini ni.m hezaji hatari san magoli mengi yanapita miguuni kwake
Hii ni kipimo cha Chelsea kuchukua ubingwa wa epl 2021/22 kwa sababu ni lazima tufunge kila timu inayokuja mbele yetuRatiba ngumu mbele yetu inafanya niihurumie chelsea yangu ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Naamini hvy mkuuHii ni kipimo cha Chelsea kuchukua ubingwa wa epl 2021/22 kwa sababu ni lazima tufunge kila timu inayokuja mbele yetu
Kupoteza hii match ni nzuri zaidi kwa city kuliko tunge win ...
Huenda tungeshinda ,tungejipa matumaini hewa juu ya final ,but pep ametoka na kitu kuhusu hii game ..
Yes mmetufunga fa ,EPL consecutively ,but bado tuna nafis zaidi kukutana final..
Kwa upande wetu hii match haina madhara yeyote ,ila imetupa onyo 29 may ....
Come on cityzen
Pumba tupu. Ivi unafikiri Tuchel ni mjinga? Yaani tena tarehe 29 mkija hovyo ndio mtakula nyingi vibaya sn.Kupoteza hii match ni nzuri zaidi kwa city kuliko tunge win ...
Huenda tungeshinda ,tungejipa matumaini hewa juu ya final ,but pep ametoka na kitu kuhusu hii game ..
Yes mmetufunga fa ,EPL consecutively ,but bado tuna nafis zaidi kukutana final..
Kwa upande wetu hii match haina madhara yeyote ,ila imetupa onyo 29 may ....
Come on cityzen
Ratiba ngumu ipi hiyo? Tuna Arsenal, Lecester na A.villa. hapo hakuna mechi ngumu hata moja.Ratiba ngumu mbele yetu inafanya niihurumie chelsea yangu ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Kumbuka tuna fainali mbili, na hao kwenye ligi pia sio wa kuwazembea.Ratiba ngumu ipi hiyo? Tuna Arsenal, Lecester na A.villa. hapo hakuna mechi ngumu hata moja.
Kitu pekee naomba kusiwe na injury,Ratiba ngumu mbele yetu inafanya niihurumie chelsea yangu [emoji24][emoji24][emoji24]
kuna babu TSilva usiwazeKitu pekee naomba kusiwe na injury,
Lep AC naomba injury yake iwe ya siku tu isiwe ya kukaa zaidi ya wiki 1 nje
Na wewe iwe funzo kwako kitobo wewe. uachege kiherehere.Kupoteza hii match ni nzuri zaidi kwa city kuliko tunge win ...
Huenda tungeshinda ,tungejipa matumaini hewa juu ya final ,but pep ametoka na kitu kuhusu hii game ..
Yes mmetufunga fa ,EPL consecutively ,but bado tuna nafis zaidi kukutana final..
Kwa upande wetu hii match haina madhara yeyote ,ila imetupa onyo 29 may ....
Come on cityzen
Zilikuwa 5 ila 2 ndo zimeleta matokeoUnajisikiaje kufungwa goli mbili uwanja wako wa nyumbani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Man City 1 vs Chelsea 2
What A Goal ....London WIZARD goal View attachment 1777920
Huyu Werner huyu tuna bonge la mchezaji aise.Alonso goal View attachment 1777923
Huyu Nyumbu United tukicheza vizuri tunamahusha hapo nafasi ya piliHii Chelsea sasa ni tishio yaani hadi raha aisee...! Lampard ulikuwa unakwama wapi?
Nafasi ya pili ni yetu kabisa.Huyu Nyumbu United tukicheza vizuri tunamahusha hapo nafasi ya pili
Madrid - Jumatano
City - Jumamosi
Arsenal - jumatano
Leicester - Jumapili
Leicester - Jumatano
Villa - Jumamosi
Wachezaji wetu wanachoka balaa.
Mechi ya jana wachezaji walicheza kwa style ya kupoozesha mwili.