Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1620500625150.png
 
Mendy ana madharau tena sana, ile penalti ya Aguero eti kadaka na mkono mmoja tu,
jino kwa jino kwa sababu Aguero naye alitaka kumdhalilisha
Kwanza penalti yenyewe walipewa tu, Gilmour hakumgusa Jesua alijichanganya mwenye kwenye miguu yake
1620501213358.png

1620501046612.png
 
Kupoteza hii match ni nzuri zaidi kwa city kuliko tunge win ...

Huenda tungeshinda ,tungejipa matumaini hewa juu ya final ,but pep ametoka na kitu kuhusu hii game ..

Yes mmetufunga fa ,EPL consecutively ,but bado tuna nafis zaidi kukutana final..

Kwa upande wetu hii match haina madhara yeyote ,ila imetupa onyo 29 may ....

Come on cityzen
 
Tjnasubiri kuwasokomeza kijiti cha mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom