Alonso leo anashambulia, mkata umeme kawekwa peke yake kuwalinda mabeki na kipa, Mount na Silva hawako hata bench, Gilmour ndani ya mechi kubwa
Hapo walioanza mechi na RM ni watano tu, wengine 6 mabadiliko, hadi formation nafikiri hiyo ni derivative ya 3-5-2 ambapo katikati ya uwanja kunakuwa na wachezaji wengi
visingizio mapema mmeanza ata city wameanza kina Torres na steeringAlonso leo anashambulia, mkata umeme kawekwa peke yake kuwalinda mabeki na kipa, Mount na Silva hawako hata bench, Gilmour ndani ya mechi kubwa
Hii game sare. We subiri.
Au kuwapiga kabisa.
Naona Anthony taylor anawabeba kweli kweli huyu sterling mwanzo tu alikuwa anakula redAmken kenge nyie ..
Aguero kaamua kuwasamehe penalty
Amken kenge nyie ..
Aguero kaamua kuwasamehe penalty
Matokeo?Oyoooooooooooo POINT 3 MUHIMU.
Hongereni THE BLUES.
Hawa CITY tungewapangia ule mziki wetu wangekufa 5.
Na wao wangeweka mkoko ingekuwa 6 kwa 5Oyoooooooooooo POINT 3 MUHIMU.
Hongereni THE BLUES.
Hawa CITY tungewapangia ule mziki wetu wangekufa 5.
Kuna mbwiga watakataaWazee tuache maskhara kwa sasa CHELSEA ndio timu tishio zaidi epl. Blue is a colour [emoji838][emoji838][emoji838][emoji838][emoji123][emoji123][emoji123]