Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea vs Real Madrid Distance Coverage Stats
1620411254112.png
 
Leicester City vs Newcastle 2-4 FT

Lecester city wameanza ulevi wa kudondoka top 4,
Leo akifungwa na Newcastle, mechi zote tatu zilizobaki anafungwa na atabakia na pts 63, Poor Leicester, zimwi la mwaka jana limeshawakaba koo
Timu hizi zitaifunga LCFC

  1. Man United,
  2. Chelsea na
  3. Totenham
 
Tunaitaka nafasi ya pili, mi nataka nyumbu apgwe na Leceater. Halafu Lecestr tutamalizana nao wenyewe.
 
Kovacic hatokuwepo ktk mchezo wa Leo na Man City na anaweza kucheza ktk mchezo wa Arsenal j5. Na atakuwepo ktk fainali na Leicester hapo Wembley.

Kuna unawezakano mkubwa ktk game ya Leicester City ya FA mashabiki wanaweza kuanza kuingia uwanjani na pia serikali ya Uingereza inaongea na UEFA ili kuweza kuona Game ya fainali ya UEFA ikachezwa England hapo Wembley.
 
Hongereni mlistahili ushindi tena mnono ila naomba shabiki mmoja anieleze kiufundi lampard alikwama wapi?maana mmekuwa kama wapya hivi
1.Kugombana na wachezaji mfano mzuri alikuwa amtumii Rudiger kabisa hata benchi alikuwa hawekwi, Alonso pamoja na kamteni wetu Alzipicueta alikuwa anapigwa benchi mechi nyingi.

2. Alikuwa Hana mbinu
Lampard alikuwa anatabilika Sana uwezo wa kiufundi alikuwa hayupo vizuri kabisa mechi tulikuwa tunashinda kwa uwezo wa wachezaji wetu.
 
Joginho anaendelea kufanya kazi kubwa sana uwanjani, Kovacic asikimbizwe kucheza bali apone kabisa majeruhi ikiwezekana ajiandae kwa ajili ya fainal UCL.
Halafu tuna Kante na pacha wake, akicheza Kante DM pacha wake anacheza CAM hadi raha
 
Kwa ufupi form ya kila mchezaji sasa hivi iko juu na wachezaji wanazitafsiri vizuri mbinu za kocha na ya mazoezi uwanjani. Hii ndio siri ya Chelsea kuendelea kufanya vizuri
Hii isipovurugika, tunakamata nafasi ya 3 kwa urahisi na ndoo kubwa na ndogo tunabeba kwa mpigo
Hata city hawana amani nasi ni kwa vile tu hao mashabiki wao hawana pa kusemea hisia zao
 
Nyie Leo mtajuta kuingia uwanjan ,tunawawashia moto kama PSG kudadeeeeeek...
 
Chelsea vs Manchester City H2H Results

Games 47
Chelsea wins 26
Manchester city wins 14
Draws 7
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom