Oranoo
Member
- Apr 11, 2020
- 56
- 186
Kuna baadhi ya wachezaji wanacheza kwa kiwango kikubwa wakiwa na timu ndogo, ila wakiwa timu kubwa performance yaoo inakua mbovu sana..mfano mzuri ni Shaqiri alipokua Bayern,inter, na sasa Liverpool anaonekana mzigoo ila alipokua Basel na stoke city kila mtu alkua anashangaa why yupo kwenye hzo timu ndogo...pia lingard na Arnautovic vivyo hivyo kwa Tammy Abraham alipokua championship kule Aston villa alkua fire but kurud Chelsea anacheza kistaa mno jamaa kama Rashford tu wa man utd..wanakera sana sometime

