Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Daah! Nimeangalia ratiba yetu aisee ni hatari

05.05.2021 Chelsea Vs Real Madrid - UEFA

08.05.2021 Man City Vs Chelsea - EPL

12.05.2021 Chelsea Vs Arsenal - EPL

15.05.2021 Chelsea Vs Leicester FA Final

19.05.2021 Chelsea Vs Leicester EPL

23.05.2021 Aston Villa Vs Chelsea EPL

29.05.2021 Man City / PSG Vs Chelsea UEFA Final
 
Hizi game ngumu sina wasiwasi nazo. Refer fixture tuliyokuwa nayo mwezi wa 2 hivi
 
Daah! Nimeangalia ratiba yetu aisee ni hatari

05.05.2021 Chelsea Vs Real Madrid - UEFA

08.05.2021 Man City Vs Chelsea - EPL

12.05.2021 Chelsea Vs Arsenal - EPL

15.05.2021 Chelsea Vs Leicester FA Final

19.05.2021 Chelsea Vs Leicester EPL

23.05.2021 Aston Villa Vs Chelsea EPL

29.05.2021 Man City / PSG Vs Chelsea UEFA Final
Ikitokea Thomas Tuchel anachukua makombe yote mawili yaani FA na UEFA basi ataweka heshima kubwa sn hapo darajani.

Dua zangu j3 West Ham Utd wafungwe na Burnley na j2 ijayo wafungwe tena West Ham Utd na Everton ili tumalize ktk top four kwa uhakika.....
 
Nimegundua baadhi ya timu zimeanza kutujua na kujulia mfumo wa kocha wetu. Rejea mchezo kati ya Madrid kipindi cha pili na huu wa leo dhidi Ya Fulham. Bila shaka mchezaji wetu wa zamani na kocha wa Fulham bwana Scott Parker alifuatilia mchezo wetu dhidi ya Madrid raundi ya kwanza.

Real Madrid kipindi cha kwanza tuliwashika kutokana na ile mbinu yetu ya kucheza kwa kupanua uwanja hali inayo fanya timu pinzani kupata shida sana kumiliki mpira, hii mbinu inafanya wachezaji wa timu pinzani kuchoka haraka sana maana kila wakati watakua wana press. Sasa kipindi cha pili Madrid walibadilika na wao wakaamua kuiga namna ya uchezaji wetu ndio maana kipindi cha pili walitusumbua sana, hii ni kutokana na wao kuupanua uwanja kuonekana mkubwa hivyo mchezaji alikuwa akienda ku press anakuta mpira haupo upo kwa mchezaji mwingine. Hii mbinu ni hatari sana

Sasa leo Scott Parker baada ya kuona Madrid walifanikiwa kwa hilo basi na yeye akaona afanye hivyo hivyo. Leo Fulham walitushika sana ndio maana ata pasi na Ball possession wametuzidi. Fulham waliutanua uwanja hivyo ikawa shida kwetu sui na pindi sisi tukiwa na mpira basi wao walikuwa kwa haraka sana wanafanya press hali iliyo pelekea kupoteza mipira.
 
Naam na ndio kitu ninacho kitamani, Tuchel akibeba FA na UEFA nitafurahi sana. Achana na kuweka heshima, umewahi kufikiria wachezaji kama Rudiger, Silva Mount, Azpilicueta, Jorginho, Kante, Ziyech na Werner vile wanatamani kuchukua UEFA?
Ikitokea Thomas Tuchel anachukua makombe yote mawili yaani FA na UEFA basi ataweka heshima kubwa sn hapo darajani.

Dua zangu j3 West Ham Utd wafungwe na Burnley na j2 ijayo wafungwe tena West Ham Utd na Everton ili tumalize ktk top four kwa uhakika.....
 
Kesho saa nane na nusu mchana wanawake wa Chelsea wanacheza na Bayern Munich second Leg, mchezo wa kwanza walitufunga kule kwao 2-1
Sisi tunahitajika kuwafunga goli 1-0 tu ili tutinge fainali na mshindi kati ya Barca au PSG
 
Werner nimegundua ana faida kuliko hata hao wanaofunga, Chelsea inakuwa mwiba mbele akicheza Werner, inakuwa butu asipocheza Werner. Hiyo juju aliyopigwa na wajerumani wenzake anapofikia goli itaisha hivi karibuni
Speed ya Werner ndio inayowasumbua mabeki.... Tena akiwa kapangwa na Pulisic jamaa wanakimbia km upepo. Hiki ndio kinamsaidia Werner na ndio sbbu anapagwa kila game
 
Real Madrid Injuries News
Raphael Varane pia kaumia, anaweza asicheze na Chelsea
Wengine walio injuries ni
  1. Sergio Ramos
  2. Dani Carvajal
  3. Mendy
 
Real Madrid Injuries News
Raphael Varane pia kaumia, anaweza asicheze na Chelsea
Wengine walio injuries ni
  1. Sergio Ramos
  2. Dani Carvajal
  3. Mendy
Yaani ata wakiwa wote full sisi hawa ni kupambana na kuwapiga tu. Maana nafasi iko mikononi mwetu hivyo ni kupambana tu kuwagonga.

Nimeona Jana Zidane kawapumzisha viungo wake wawili Modric na Toni Kroos naona anataka aje na nguvu j5.

Atatukuta na sisi tuko moto. Hapa natamani sn Kovacic awe mzima.
 
Sisi pia kina Rudiger, Azpilicueta, Jorginho, Pulisic hawakucheza jana.
Yaani ata wakiwa wote full sisi hawa ni kupambana na kuwapiga tu. Maana nafasi iko mikononi mwetu hivyo ni kupambana tu kuwagonga.

Nimeona Jana Zidane kawapumzisha viungo wake wawili Modric na Toni Kroos naona anataka aje na nguvu j5.

Atatukuta na sisi tuko moto. Hapa natamani sn Kovacic awe mzima.
 
Mbinu za jana za TT hizi hapa
Jana Chelsea walicheza 3-1-4-2 kwenye kipindi cha kwanza. Hii formation ni mara ya kwanza Tuchel kutumia tangu aichukue Chelsea
Hii formation imefanana kidogo na 4-4-2- kwa kuwa na mastriker wawili yaani Kai Havertz na Werner
Mount na Ziyech walicheza kama viungo washambuliaji na Gilmour akicheza katikati peke yake kama CDM
Kipindi cha pili Mount alirudi kulinda akisaidiana na Gilmour kwa sababu uharibifu kule mbele ulisha fanyika
Timo Werner na Kai Havertz walicheza kwa mbinu za kubadilishana position ili Fulam iwe ngumu kuwasoma na kuwamark
Werner hana bahati na goli lakini anajua kucheza mpira, ile assist ya jana of cource imefanana kidogo ya ya Mount ilikuwa superb. Na ile assists ilikuwa copy and paste ya mazoezi

Natamani kesho kutwa Real Madrid tuwabomoe 2 - 0 ili wakapambane na Lilaliga lao
 
Daah! Nimeangalia ratiba yetu aisee ni hatari

05.05.2021 Chelsea Vs Real Madrid - UEFA

08.05.2021 Man City Vs Chelsea - EPL

12.05.2021 Chelsea Vs Arsenal - EPL

15.05.2021 Chelsea Vs Leicester FA Final

19.05.2021 Chelsea Vs Leicester EPL

23.05.2021 Aston Villa Vs Chelsea EPL

29.05.2021 Man City / PSG Vs Chelsea UEFA Final
Utabiri wa matokeo

05.05.2021 Chelsea Vs Real Madrid - UEFA 0-0

08.05.2021 Man City Vs Chelsea - EPL 1- 1

12.05.2021 Chelsea Vs Arsenal - EPL - 3-0

15.05.2021 Chelsea Vs Leicester FA Final 1-0

19.05.2021 Chelsea Vs Leicester EPL 3-1

23.05.2021 Aston Villa Vs Chelsea EPL 1-2

29.05.2021 Man City / PSG Vs Chelsea UEFA Final ???

Kwenye ligi tutabeba point 10 na jumla ya point itakuwa 71, nafasi ya 3 nyuma ya Leicester au Westham
 
Naheshimu hisia zako ila hapo kwa Madrid Jumatano haina jinsi atafungwa tu. Kuhusu mechi za epl napenda sana zote Mendy atoke na clean sheet
Utabiri wa matokeo

05.05.2021 Chelsea Vs Real Madrid - UEFA 0-0

08.05.2021 Man City Vs Chelsea - EPL 1- 1

12.05.2021 Chelsea Vs Arsenal - EPL - 3-0

15.05.2021 Chelsea Vs Leicester FA Final 1-0

19.05.2021 Chelsea Vs Leicester EPL 3-1

23.05.2021 Aston Villa Vs Chelsea EPL 1-2

29.05.2021 Man City / PSG Vs Chelsea UEFA Final ???

Kwenye ligi tutabeba point 10 na jumla ya point itakuwa 71, nafasi ya 3 nyuma ya Leicester au Westham
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom