Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tutapiga mpira mwingi sana kwa kikosi iko panya apiti
FB_IMG_1619548648563.jpg
 
Zidane kwa huu mfumo tutapata shida sana pale kati, viungo watatu wenye viwango vya dunia. Leo ndio tutammis fundi Kova, Zidane anaingia uwanjani kwa akili za kutotaka sisi tusimiliki mpira. Hii game ni kuombea Kante awe kwenye kiwango bora kabisa, bila hivyo tutaumia.
 
Real Madrid nitombeeni hizi nguruwe mkojoe raundi tatu, warudi darajani la wami wakafue boxer zao.
 
Ww akili zako zilikuruka toka siku ile tumekusukumizia ukuni wa maana
Mkimfunga Madrid navua nguo zote natembea utupu kutoka dar mpaka morogoro ...


Hii takataka Chelsea ndio imfunge Madrid kudadddddddeki ..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom