Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Wacha kukaza fuvu mkuuZote tunamfunga. Tena zinafatana na tofauti inaweza kuwa ni siku mbili au tatu tu.
Wacha kukaza fuvu mkuuZote tunamfunga. Tena zinafatana na tofauti inaweza kuwa ni siku mbili au tatu tu.
Huyu ndio kocha Bora apangi mtu ilimradi tuView attachment 1764117
Thomas Tuchel on Andreas Christensen against West Ham
“We made this change today, to have Andreas [Christensen], Antonio [Rudiger], and Thiago [Silva] protect the goal and to have heights for the long balls,” he told Chelsea TV in his post-match interview.
“To have body and heights against Tomas Soucek who is very, very strong when he arrives from midfield or when he arrives for the long balls from the goalkeeper.
“So yeah, that worked out very, very well.
“I’m happy because Andreas played at his highest level after his injury; in [terms of] trust, confidence, and also in build-ups.
“[And he was] very, very brave against the ball.
Tena na timu yako City next week tunakuja kukupiga tena hapo hapo Etihad ndio ujue sisi hatuna utani. Yaani City lazima tumchabange mara ya pili....Wacha kukaza fuvu mkuu
Kwa kweli imebidi niwakumbuke Drogba, Ramires, Diego Costa, Lampard.Wener sometym anazingua, yeye na goli anakosa. Anasababsha tunaangalia mpira moyo unadundia pakukalia.
Katika timu ambayo sioni ikibaku top 4 no Chelsea ..Tena na timu yako City next week tunakuja kukupiga tena hapo hapo Etihad ndio ujue sisi hatuna utani. Yaani City lazima tumchabange mara ya pili....
Tena na timu yako City next week tunakuja kukupiga tena hapo hapo Etihad ndio ujue sisi hatuna utani. Yaani City lazima tumchabange mara ya pili....
Nakuja kukufunga hapo hapo Etihad na ninabaki ndani ya top 4 tena ninatamaliza nafasi ya tatu juu ya Leicester City.. Maana Leicester game zote mbili ninamfungaKatika timu ambayo sioni ikibaku top 4 no Chelsea ..
Sioni kabisa hii timu ikibaki top 4 poleni sanaa
Chelsea On-FireKatika timu ambayo sioni ikibaku top 4 no Chelsea ..
Sioni kabisa hii timu ikibaki top 4 poleni sanaa
Kweli mkuuuDah acha tuu mkuu, na kumpata mshambuliaji mkali sokoni zama hizi ni changamoto kubwa sana:-
Ronaldo mzee anagombaniwa
Suarez mzee anagombaniwa
Cavan mzee anagombaniwa
Aguero majeruhi anagombaniwa
Kane kijana HAUZWI ogopa matapeli
Haaland damu changa full Maringo.
Katika timu ambayo sioni ikibaku top 4 no Chelsea ..
Sioni kabisa hii timu ikibaki top 4 poleni sanaa


Tena amshukuru na refa alikataa goli mbiliMkuu ivi ile bao moja haikukutosha eee. Subiri next week tuongeze zingine mbili![]()
Kwanin Chelsea hawezi kubaki top 4..Tena amshukuru na refa alikataa goli mbili
Kwanin Chelsea hawezi kubaki top 4..Tena amshukuru na refa alikataa goli mbili
Liva nae akinipigia Nyumbu.Leceister ashachomekwa kamoja na Crystal palace.
We nimeshakutafuna, ukae tu kwa kutulia. Sio vizuri kumuombea mwanaume wako mabaya. Mdomo wako utakuponza nikutafune tena ohooo.Kwanin Chelsea hawezi kubaki top 4..
Anaenda kupoteza point mbele ya
Man city
Lecister city
Unajua mnakataa hapa ,ila kimoyomoyo mnajua mziki wake ..
Poleni sana wakuu
Acha upimbi Mpira hauchezwi kwenye maneno ..!Mwalimu kashazema kwaiyo kesho ushindi uhakikaView attachment 1765210
Dah! Mnyama Didier Drogba costa asingeweza kufikia level za Didier Chelsea.Umemsahau diego Costa alivunja hiyo laana bahati mbaya conte akamuuza ila angeendelea huyu mwamba makombe yangekuja sana darajani.
We Jamaa unatapa tapa sana.... Huku mtaani wanawaita Madanga siku izi!Acha upimbi Moira hauchezwi kwenye maneno ..!
Binafsi naiona Chelsea ikichezea kipigo mbele ya madrid