Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea tumebaki game nane...

Game mbili za UEFA na game moja ya FA. Na game tano za EPL..

Ktk EPL tumebakiza game ya Fulham, Man City na Arsenal na Leicester City, na Aston Villa.

Game ya Leicester City itaanza ya FA alafu inaweza kufata ya EPL... Kisha tukamaliza na Aston Villa.
Duuuh...! Hapa pagumu na bahati inahitajika haswa kwa hali na mali maana naona kila mechi no ngumu sana sababu ya kukamiwa ili kuharibu rekodi ya TT na kukosa vikombe.
 
Chelsea tumebaki game nane...

Game mbili za UEFA na game moja ya FA. Na game tano za EPL..

Ktk EPL tumebakiza game ya Fulham, Man City na Arsenal na Leicester City, na Aston Villa.

Game ya Leicester City itaanza ya FA alafu inaweza kufata ya EPL... Kisha tukamaliza na Aston Villa.
Hapa mchaw man city tu
 
Hili tatizo toka Drogba aondoke hatujaweza kulitibu kikamilifu. Suala la umaliziaji ni changamoto sana kwetu. Nafurahi sana kwa sasa tuko vizuri kwenye ulinzi
Hii THE BLUES inayotengeneza nafasi nyingi sana za kufunga, pale mbele ingempata striker kama Harry KANE angefunga magoli mpaka basi.
 
Mtaweza kumfunga lecister city Mara mbili consecutively??

Yaaani Fa final na EPL ? Mbaya zaidu hizi game zinafuatana ...

Jiandaeni kuachia kimoja hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata aje nani bado kuna uzembe kwnye kucreate, na pia utoaji wa pasi, mtu anazubaa na mpira mpaka magepu yanafungwa, mara kibao waner anaonyesha kuchomoka kwnye back line,na unaona kbs gape lipo lakin hat mwenye mpira ndio kwanza yupo bize na kutoa back pass. Hapa ndipo namkumbukaga Hazard.

Zile counter mbili za mwisho Ya Kante na ile ya Mount, angekua hazard yote yangekua magoli mana angewapasia wachezaji husika kw wakati na wangekua kwenye nafasi nzur za kufunga. ila walichokifanya sijui hawachezagi playstation.
 
Umesema kweli
wote wanazubaa na mpira
at least mount na Werner wanajitahidi kidogo
 
Hili tatizo toka Drogba aondoke hatujaweza kulitibu kikamilifu. Suala la umaliziaji ni changamoto sana kwetu. Nafurahi sana kwa sasa tuko vizuri kwenye ulinzi
Umemsahau diego Costa alivunja hiyo laana bahati mbaya conte akamuuza ila angeendelea huyu mwamba makombe yangekuja sana darajani.
 
Real Madrid Vs Chelsea Injuries

Sergio Ramos
Status: Out
Type of injury: Calf
Possible return date: Unknown

Lucas Vazquez
Status: Out
Type of injury: Knee
Possible return date: Unknown

Federico Valverde
Status: Out
Type of injury: Coronavirus
Possible return date: Unknown

Ferland Mendy
Status: Major doubt
Type of injury: Calf
Possible return date: April 27 (vs. Chelsea)

Toni Kroos
Status: Minor doubt
Type of injury: Muscle
Possible return date: April 27 (vs. Chelsea)
 
Mtaweza kumfunga lecister city Mara mbili consecutively??

Yaaani Fa final na EPL ? Mbaya zaidu hizi game zinafuatana ...

Jiandaeni kuachia kimoja hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zote tunamfunga. Tena zinafatana na tofauti inaweza kuwa ni siku mbili au tatu tu.
 
1619374950887.png

Thomas Tuchel on Andreas Christensen against West Ham

“We made this change today, to have Andreas [Christensen], Antonio [Rudiger], and Thiago [Silva] protect the goal and to have heights for the long balls,” he told Chelsea TV in his post-match interview.

“To have body and heights against Tomas Soucek who is very, very strong when he arrives from midfield or when he arrives for the long balls from the goalkeeper.

“So yeah, that worked out very, very well.

“I’m happy because Andreas played at his highest level after his injury; in [terms of] trust, confidence, and also in build-ups.

“[And he was] very, very brave against the ball.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom