Luca Modric, Tony Kloose na Casamiro hawa Thomas Tuchel awatafutie dawa kabisa maana hawa ndio injini ya Madrid.


Najua leo hizi injini zitacheza deep ili kutawanya mipira ya mirefu wakitegemea mbio za Hazard, Asensio na yule Jr dogo wa kibrazil. Inabidi Ben Chilwell na Reece James na beki wa kati leo wafanye kz sn..
 
Mzozano wa Rais wa UEFA na Rais wa Real Madrid unaweza kutupa fursa nzuri ya kushinda kesho kwa sababu inavyoonekana, kocha wa Real Madrid na wachezaji hawako settled kabisa. Matokeo ya hivi karibuni kwenye Laliga ni mojawapo ya evidence kwamba Madrid hakuko shwari
Mkuu hatupaswi kutegemea matukio kama hayo ili tupate ushindi wao. We need to win because of our strength and not because of their weaknesses
 
Tuandae kaburi au tusubiri kidogo?
Screenshot_20210427-195531.jpg
 
Back
Top Bottom