Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jana Lecester city amefanya maisha ya Chelsea kuwa ngumu kidogo pamoja na washindani wake wa top 4
Kesho Chelsea asiposhinda atayafanya maisha ya pale darajani yazidi kuwa complicated zaidi

Hii squad ya ushindi kesho icheze na wawe aggressive

Werner

Pulisic--------------------------------------Ziyech

Ben Chilwell --------------Jorginho --------------Kante ------- James

Rudiger ------------------------ Christensen -------------------- Azpilicueta

Mendy

-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Subs itakayotumika ziwe za Mount kwa jorginho, Odoi kwa Ziyech na Havertz kwa Pulisic
Kama kocha vile
 
Mashabiki wa Arsenal wanaitaka EPL iige mfumo wa ujerumani kwenye umiliki wa klabu za mpira ili kuwapa nguvu zaidi mashabiki
Ujerumani mfumo wao wa umiliki ni 50+1
 
Jorginho on Lampard - Adai Lampard hakuwa tayari kwa kazi ya ukocha na klabu kubwa kama Chelsea
"Look, I'll be really sincere here on Lampard. I believe, given he was a legend at the club, he skipped some steps necessary for learning before moving to a big club," Jorginho told ESPN Brasil's Resenha.

"He came to a club where he is a legend, without having experience at other clubs. I think he came too soon, skipped a few steps ahead, and wasn't ready for a job at this level, to be honest."
 
Jorginho on Lampard - Adai Lampard hakuwa tayari kwa kazi ya ukocha Chelsea
"Look, I'll be really sincere here on Lampard. I believe, given he was a legend at the club, he skipped some steps necessary for learning before moving to a big club," Jorginho told ESPN Brasil's Resenha.

"He came to a club where he is a legend, without having experience at other clubs. I think he came too soon, skipped a few steps ahead, and wasn't ready for a job at this level, to be honest."
Angepotezea hii itamletea chuki
 
Cavani meomba kuondoka Man United kwa sababu anataka kuwa karibu na familia yake, ila wataalamu wengi wanadai ni kwa sababu hakupewa muda wa kutosha na Ole Guna
Je TT amchukue na kumfanya striker badala ya Giroud na awe anapewa muda wa kutosha kufikisha 20+ goals kwa msimu?
Kwa jinsi alivyoonyesha Man United Cavani ana uwezo wa kufunga goli 20+ kwa msimu mingine miwili ijayo hata akiwa na 36
 
Vilabu vya PL vimesema havina imani tena na wenzao wa vilabu sita vilivyoshiriki kuanzisha ligi haramu ya ESL na wamedai viongozi au vinara wa liovipeleka hivyo vilabu kwenye hiyo ligi waachie madaraka haraka kulingana na taratibu za klabu husika
Wahusika wakuu ni wamiliki wa hizo klabu ndio wanatakiwa wachukue maamuzi sahihi ya kuviachia hizo timu kwa sababu huko mbeleni hakuna mtu atakayewaamini tena na wengine wamedai wanaweza kuwatafuta watu waaminifu wa kuwawakilisha kwenye mikutano, wao wasionekane kabisa

Klabu hizi ni

  1. Arsenal,
  2. Chelsea,
  3. Liverpool,
  4. Manchester City,
  5. Manchester United
  6. Tottenham hot Spurs
Mnasemaje mashabiki wenzangu, tumuachie Roman Abramovich aondoke na mafanikio yote aliyoiletea hii klabu?
 
1619264084577.png
 
joe willock again, Liverpool hawana bahati kama Arsenal jana
Sijui kwa nini Arsenal walimtoa mkopo huyu kijana yuko moto sana
Liverpool 1 New Castle 1
 
Cavani meomba kuondoka Man United kwa sababu anataka kuwa karibu na familia yake, ila wataalamu wengi wanadai ni kwa sababu hakupewa muda wa kutosha na Ole Guna
Je TT amchukue na kumfanya striker badala ya Giroud na awe anapewa muda wa kutosha kufikisha 20+ goals kwa msimu?
Kwa jinsi alivyoonyesha Man United Cavani ana uwezo wa kufunga goli 20+ kwa msimu mingine miwili ijayo hata akiwa na 36
We jamaa hizi habari unaziokota wapi.

Kwamba OLe hampi nafasi Cavan.
 
UEFA mwaka huu wameanzisha ligi mpya ya chini ya Europa sijui kama wenzangu mnalijua hilo
Inaitwa Europa Conference League ambapo kwa ligi ya England mshindi wa 7 ndie anaenda huko au mshindi wa Carabao kama mshindi huyo hayupo kwenye ligi zingine za UEFA
Europa League group stage itakuwa inachukua timu mbili tu ya tano na sita au ya tano na mshindi wa FA
Endapo mshindi wa Europa au Uefa atatoka EPL nje ya top 4 basi timu zitakazoenda UEFA ni 3 yaani mshindi wa kwanza hadi wa tatu akiungana na hao washindi wawili na kuwa na jumla ya timu 7 kutoka EPL

Mfano hao

Chelsea ashindwe kuingia top 4 na achukue UEFA na pia Arsenal ashindwe kuingia top 4 na achukue Europa League, wote hao walio nje ya top 4 wataingia UEFA kwa kofia zao na EPL itawabidi wawachukue washindi wa 1-3 tu kwa sababu kwa sheria za UEFA EPL itawakilishwa na timu 5 tu maximum
 
We jamaa hizi habari unaziokota wapi.

Kwamba OLe hampi nafasi Cavan.
Hizo habari ni za kweli na fuatilia, amepewa mara 20 na katika hizo ni cmara 10 hivi kaanza tofauti na yeye alivyotegemea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom