Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ngolo Kante ktk Suez Canal akiitoa meli ya Evergreen iliyokua imenasa kwa muda wa wiki....
IMG_20210329_180947.jpg
 
Kwa mfano Zile nafasi za magoli ya wazi anazokosa Werner, Lukaku angezikosa?

Damu changa unayozungumzia ni Haaland ambaye ametuchomolea nje, damu changa ipi nyingine yenye caliber ya Haaland?
Ndg, tena wewe ndio wa kwanza kutoa list ya matakata ya kuuza wasipofanya vizuri hata kwenye mechi 1 au 2 tu. Na huyu Lukaku baada ya mechi mbili utamuweka kwenye orodha ya matakataka nakuambia. Sina maana Lukaku sio mchezaji mzuri, ila hataweza kufikia matarajio ya Chelsea ya kutwaa vikombe vikubwa

Lukaku akija hata make a deference, yatakuwa yale yale ya kugombea top 4.
  1. Kocha aboreshe shot accuracy ya Werner na
  2. Aboreshe pia confidence na stamina ya Havertz.
  3. Kocha pia aboreshe ball possession ya Tammy Abraham kwenye final third atakuwa na magoli mengi kuliko Lukaku
Hii ya kununua nunua ali mradi na sisi tuko sokoni tena kwa wachezaji ambao tukisha mpa mkataba mmoja unaofuata unakuwa mgogoro kama akina Willian haitaifikisha timu mbali
Hatuwezi kununua vifaa kama akina Mbape, Haaland sio lazima tuingie sokoni
Hayo ndio maoni yangu na naamini ni sahihi kwa 80%
 
UEFA has released a statement confirming the change of venue, which reads: "UEFA is able to officially confirm that the UEFA Champions League quarter-final first and second leg matches involving FC Porto and Chelsea FC, will now both be played at the Estadio Ramon Sanchez-Pizjuan in Seville
 
Ndio maana zikaitwa TETESI, kunogesha viushabiki, vihabari, vimijadala, vianalysis, viudambudambu flani kwenye tasnia ya mpira.

Wanaotengeneza hizi TETESI wanafahamu zitauzika, zitasomwa kwa mashabiki aina flani flani wa soka duniani.

Hata mimi ninavyopost hapa kutoka kwenye page ya BBC, lengo ni kuchangamsha jukwaa. Ningeamua kuzipuuza hata wewe usingepata point ya kutoa hiyo comment kuendelea kuchangamsha jukwaa.

Akili za kuambiwa, changanya na zako.
Mkuu naomba usinielewe vibaya, sina maana wewe uliyeleta ndio una makosa, ila tunaelimishana tu.

Ni kweli taarifa zote za football inaanza na tetesi na nyingi huwa ni za kuuza news au kwa maneno mengine ni taarifa za uongo, ILA NAELEZA KWA CAPITAL KAMA MSISITIZO, NEWS ZINGINE NI ZA KIZUSHI, HAZINA LOGIC NA ZINA NIA OVU YA KUGOMBANISHA, HII YA TT KUONGEA ZA BOSI KUHUSU WERNER NI MOJAWAPO YA NEWS AMBAZO HATA KUSHARE HUWA SITAKI
Bora nishare taarifa za uongo lakini zinamake sense. Watuwekee hata za uongo lakini ziwe na LOGIC na ZISIWE ZA KIZUSHI
 
Intrer waweka bei ya LUKAKU ni £100million

Chelsea ni kama Mzungu aliyeenda kununua vitu Kariakoo, bei zote hupanda
Kama Chelsea wasingeonyesha nia, bei ya LUKAKU isingefika £100million
 
Timo Werner sat on the bench both against Iceland & Romania. Joachim Löw no longer trusts Werner against teams that sit deep. The striker was a bit surprised and upset by the explanation of Löw. The coach relies on Gnabry upfront with Havertz & Sané on the wings [Bild] pic.twitter.com/WSBYAC1Ugq

— Bayern & Germany (@iMiaSanMia) March 29, 2021
 
Timo Werner akihamia Leicester City atafanya vizuri. Kuna wachambuzi walimchambua na kudai kwa nini Bayern Munich walimkataa, simply wanadai Werner ni System player ambaye alifaa tu kwenye system ile ya Lepzig ambapo kule alipewa space (nafasi ya kutosha) kwenye compact player style ya Bayern, Chelsea, Liverpoool, Mancity hafai ila kwenye counter attck footbal inayotyoa nafasi kwa mcheza kama ya Leicester city au Man united atafaa sana. Hata Joacim Low kocha wa Timu ya Ujerumani alimuweka benchi jana kwa madai kama hayo hayo. Kwa hiyo mimi naafiki Werner auzwe ili tumnunue mshambuliaji anayeweza kucheza kwenye compact system of play kama ya Chelsea
 
Timo Werner akihamia Leicester City atafanya vizuri. Kuna wachambuzi walimchambua na kudai kwa nini Bayern Munich walimkataa, simply wanadai Werner ni System player ambaye alifaa tu kwenye system ile ya Lepzig ambapo kule alipewa space (nafasi ya kutosha) kwenye compact player style ya Bayern, Chelsea, Liverpoool, Mancity hafai ila kwenye counter attck footbal inayotyoa nafasi kwa mcheza kama ya Leicester city au Man united atafaa sana. Hata Joacim Low kocha wa Timu ya Ujerumani alimuweka benchi jana kwa madai kama hayo hayo. Kwa hiyo mimi naafiki Werner auzwe ili tumnunue mshambuliaji anayeweza kucheza kwenye compact system of play kama ya Chelsea
Kakosa goal la wazi Dah?
 
Chelsea wanawake wanatembeza kipigo kikali kwa kila anayetokeza ,wameingia nusu fainali champions League ni hatari konki fire kwa mujibu wa mwanazuoni Pierre Liquid .
 
Chelsea haven’t scored a goal in the league under Tuchel when Werner doesn’t start. (3 Matches)
Moments Under Tuchel:
  • Pen Won vs Spurs (1-0 W)
  • Assist & Pen Won vs Sheffield Utd (2-1 W)
  • Goal vs Newcastle (2-0 W)
  • Performance Against Liverpool?
  • Assist vs Atletico (2-0 W)
 
Chelsea haven’t scored a goal in the league under Tuchel when Werner doesn’t start. (3 Matches)
Moments Under Tuchel:
  • Pen Won vs Spurs (1-0 W)
  • Assist & Pen Won vs Sheffield Utd (2-1 W)
  • Goal vs Newcastle (2-0 W)
  • Performance Against Liverpool?
  • Assist vs Atletico (2-0 W)
Werner amekuwa na wakati mbaya akiungana na Pulisic, Giroud na Tammy. Hii huwa inatolea ila huwa sio tatizo la kudumu. Kocha aendelee kuwanoa aonavyo na asiwakatishe tamaa.

Watakuja kutushangaza
 
Chelsea FC Women are through to the Champions League semi-finals after a 5-1 aggregate win over last year’s finalists Wolfsburg.
 
Na corona hii Ina maana barca wanao mpunga wa kutosha kumsajili huyu jamaa au dogo analeta mapenzi ya timu?

Nimeamini wachezaji wengi wazuri ndoto zao ni kuchezea Madrid na Barca.

The BLUES na pesa zetu hazifanyi kazi kwa huyu dogo.

View attachment 1740527
Ameenda kwa ajili ya mazungumzo na klabu mbili za Barcelona kwanza na baadaye Real Madrid.

Agent Mino Raiola and Alf Inge, the father of Borussia Dortmund striker Haaland, initially landed in Barcelona ahead of a meeting with Joan Laporta, who was elected as Barca president last month.
Raiola and Alf Inge Haaland then flew to Spain's capital for further talks with Real Madrid.

Hata hivyo sidhani kama hizo timu zina cash ni mpaka wauze wachezaji tena sana kwa sababu zinadaiwa kwa sababu ya Corona. Usije ukashangaa wakamgeukia Abramovich na kujikuta yuko Chelsea hata kama haikuwa lengo lake
"......... although it is unclear how Barcelona would finance a deal with the club wrestling with huge debt, caused largely by the coronavirus pandemic."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom