Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_4545.jpg
 
Acheni Shobo za Kijinga wenye Chelsea Yetu tumetulia na Haya ni matokeao ya kawaida kweny mpira. Bado nafasi ya kujitetea ipo kwa Michezo iliyobaki
 
Unawaambia jamani kocha mpya au mchezaji mpya akija ni kawaida timu kuchangamka wanajifanya huu ndo muarobaini nyinyi hamjui kitu sasa maajabu yake hapa leo huwaoni.
 
TT haja waandaa wachezaji kucheza pungufu, Conte alishawahi kucheza na wachezaji 9
Wee unacheza pungufu halafu huna Kante kweli tutatoboa, Mimi niliacha kuangali baada ya goli la pili ndani ya dk 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom