Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,163
- 5,623
Akiwa Chelsea ana matukio machache ila mwishoni alianza kupoteza ile nidhamu yake. Aliuzwa kwenda Kings Power. Ilikuwa ni miaka ya mwishoni mwake Chelsea.Nazungumzia ule utukutu wa ndani ya uwanja km kina Roy Keane. Au kina pepe..yaan ye kutoka na Kadi za njano au nyekundu ni kawaida kwake
Ila akiwa Chelsea kama captain hakuwa mtu wa matukio kama akina Paul Gascoine Gazza