OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,312
Kwa sasa tunahitaji Ulinzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Dah watu walim'beza eti alishindwa PSG yenye wachezaji WCP sasa Chelsea ya Odoi na Tammy ndo ataiweza, hahaha sasa anawa prove wrong wakulungwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumetisha sn
Tuchel hataki utani kabisa
Apewe msaidizi wa kocha ....jamaa ana passion ile mbayaaMie naona kama zouma moto rudgar fire christiansen ni balaaa hapa ssa sielewi na kaka mkubwa sliver akirudi itakuaje hakuna wa kutuzuia
Draw itafanyika leo kipindi cha halftime ya mechi ya Leicester City na Manure, na watakaoangalia mechi hi wataona liveWazee tunacheza na mshindi wa jana CITY au kuna draw itafanyika?
Sutton vs chelseaWazee tunacheza na mshindi wa jana CITY au kuna draw itafanyika?
no one can stop usTHE BLUES tuendelee kushinda match zetuView attachment 1731087
Ulitaka akautafute wapi? giroud kazi yake sio kuutafuta mpiraKuna jamaa walichoka sana, akiwemo Odoi, Kovacic, Gilmour, Christensen. Giroud yeye hakuwa hata anacheza, hakupata huduma na wala hakujitahidi kuitafuta huduma na ndio tofauti ya Giroud na akina Werner na Haverts wakicheza na. 9
Kwa uwezo wa wachezaji naamini tutanyakua kimoja wapo au zoteYes mkuu.
Ila huyu Thomas Tuchel no kocha mzuri sn Chelsea hatujawahi kupata. Nimekuwa namuelewa sn kwa kila kitu na moja ya kitu ninachompongeza huyu kocha ni kuweza kuwapa nafasi wachezaji wote ya kucheza.
Alafu ana mbinu Fulani kwa kutegemea uwezo wa wachezaji.
Mafano Leo ako na mfumo was 3+4+3 lkn hii ni km 4+3+3 maana anatumia uwezo was Christiansen kucheza kulia anakava mpk beki ya kulia ya pembeni. Kwahiyo Odoi muda wote anashambulia tu.
Wakati huo Emerson anaweza kucheza km cb wa kati upande wa kushoto na anacheza pia beki wa kushoto wa pembeni km Ben Chilwell kapanda mbele sn.
Kwa maana hiyo basi km tunashambuliwa sn ndio utamuona Ben anarudi ktk nafasi yake na Odoi na hawa cb watatu wanarudi kati wote
Lkn Tuchel ni bomba la kocha na atatupeleka mbali sn kwa hiki kikosi kipana tulicho nacho.
Jambo jingine naona Pulisic anachezewa sn rafu yaani kila akigusa mpira wanamla
Kwa namna tulivyo na njaa namna hii makombe haya yanayo zagaa zagaa mbele yetu la FA na UEFA tunayabeba yote
Dah Man city tena, mbona mtihani huu
Sasa ivi wapo busy timu zaoJe wanahesabu au hawajui kusoma tumeruhusu goal 2 hatar sana
Wakija watahesabuSasa ivi wapo busy timu zao
YeahWakija watahesabu