Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Hahaha du sawa kama hiko ndio kigezo apeweKamfunga unbeaten PEP
Hahaha du sawa kama hiko ndio kigezo apeweKamfunga unbeaten PEP
Wapiga ramli hao wapuuuzie mkuu ss ni win win situation tu lembuFIFA21 imetabiri Porto vs Chelsea matokeo yatakuwa 2-2
Goli la Werner dk ya 45 itaifanya Chelsea iende mapumziko kifua mbele kwa goli moja bila. Goli la kujifunga la Azpilicueta dk ya 62 itafanya kuwa 1-1, Goli la Mount dk ya 78 itafanya Chelsea iongoze 2-1 hadi dk ya 88 Kovacic kwa sababu ya kuchoka atapoteza mpira karibu na goli la Chelsea na hivyo Taremi wa Porto kuisawazishia timu yake na kuwa 2-2. Mara baada ya uzembe huo TT anamtoa Kovacic na kumuingiza Jorginho lakini matokeo hayakubadilika na kwa hiyo mechi ikaishia 2-2
Observation. TT anatakiwa kuwa makini sana na wachezaji ambao mara nyingi huwa wanachoka baada ya HT kama wameanza ila sio siku zote
Wachezaji hao ni
Kocha akishaona dalili hizo tu afanye sub ili Porto wasituumize
- Jorgninho - Anaongoza
- Kovacic
- Odoi - kwa sabau ya style ya uchezaji wake
- Giroud - Kwa sababu ya umri
- Alonso
- Christensen
- Pulisic
Kwa sababu UEFA wameruhusu sub 5 basi damu mpya iingizwe punde tu kuna wachezaji wamechoka
Nimemfatilia TT juu ya huu mchezo hataki utani kabisa na ndio sbbu anachukia sn hii michezo ya kimataifa inayosababisha wachezaji wake kupata majeruhi. Maana anataka ktk wakati huo awe na wachezaji wake wote kamili ili wafanye kz kweli kweli.FIFA21 imetabiri Porto vs Chelsea matokeo yatakuwa 2-2
Goli la Werner dk ya 45 itaifanya Chelsea iende mapumziko kifua mbele kwa goli moja bila. Goli la kujifunga la Azpilicueta dk ya 62 itafanya kuwa 1-1, Goli la Mount dk ya 78 itafanya Chelsea iongoze 2-1 hadi dk ya 88 Kovacic kwa sababu ya kuchoka atapoteza mpira karibu na goli la Chelsea na hivyo Taremi wa Porto kuisawazishia timu yake na kuwa 2-2. Mara baada ya uzembe huo TT anamtoa Kovacic na kumuingiza Jorginho lakini matokeo hayakubadilika na kwa hiyo mechi ikaishia 2-2
Observation. TT anatakiwa kuwa makini sana na wachezaji ambao mara nyingi huwa wanachoka baada ya HT kama wameanza ila sio siku zote
Wachezaji hao ni
Kocha akishaona dalili hizo tu afanye sub ili Porto wasituumize
- Jorgninho - Anaongoza
- Kovacic
- Odoi - kwa sabau ya style ya uchezaji wake
- Giroud - Kwa sababu ya umri
- Alonso
- Christensen
- Pulisic
Kwa sababu UEFA wameruhusu sub 5 basi damu mpya iingizwe punde tu kuna wachezaji wamechoka
Hiyo ni Nov, 17 mwaka janaMateo Kavasic katupia goli mbili dhidi ya Ureno japo wamepoteza 2-3
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hii ndio sababu kubwa siipendi michuano ya kimataifa
Mount kwenye ubunifu si mzuri anachowazidi hao wengine ni work rate kuwa kubwa pamoja na defensive work yake.Mason Mount vs Grealish, Foden and Madison based on 90 minutes play
Hizi facts ndizo zinazompa Mason Mount credits na kuchaguliwa kwenye starting XI ya Three Lions dhidi ya Jack Grealish, Phil Foden na James Madison kwenye nafasi hiyo ya CAM
Mason Mount ni Mzuri zaidi kwenye ball possession na ndio eneo lake analowashindia hao wengine
shooting-creating actions per 90 mins
Set Pieces taking per 90 mins
- Jack Grealish,
- Mason Mount
- James Maddison
- Phil Foden
key passes per per 90 mins
- Jack Grealish,
- Mason Mount
- James Maddison
- Phil Foden
goal assists per 90 mins
- Jack Grealish,
- Mason Mount
- James Maddison
- Phil Foden
expected goal assists per 90 mins
- Jack Grealish,
- James Maddison
- Phil Foden
- Mason Mount - because of poor chelsea finishers
Tackles won per 90 mins
- Jack Grealish,
- Phil Foden
- Mason Mount
- James Maddison
Interceptions made per 90 mins
- Mason Mount
- Jack Grealish,
- Phil Foden
- James Maddison
Pressures registered per 90 mins
- Mason Mount
- Phil Foden
- Jack Grealish,
- James Maddison
- Mason Mount
- Jack Grealish,
- James Maddison
- Phil Foden
Ohoo basi you tube ilionesha ni kana kwamba wamecheza juzi tu apoHiyo ni Nov, 17 mwaka jana
Mradi mchezaji wetu kafunga inatosha kusema Chelsea ni [emoji91]Mateo Kavasic katupia goli mbili dhidi ya Ureno japo wamepoteza 2-3
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Babayaro
Kuna game moja ya chelsea vs makab haifa ya israel hii game ndio di matteo alivunjika mguuNazungumzia ule utukutu wa ndani ya uwanja km kina Roy Keane. Au kina pepe..yaan ye kutoka na Kadi za njano au nyekundu ni kawaida kwake
Nimeziona hizi news nikazipuuza kwa sababu huwa hizi taarifa ni za kuuza news tu. Kocha hawezi kusema au kufikiria hivyo kwani itaharibu hali ya hewa ya dressing room.Kocha wa Chelsea Thomas Tuchel amemtaka mmilikia wa Chelsea Roman Abramovich kumtumia mshambuliaji wa Ujerumani Timo Werner, 25, kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana ili kujaribu kumchukua Haaland kutoka Borussia Dortmund. (Sunday Express)View attachment 1737487
Lukaku akija Chelsea atasota sana kwa sababu bado Chelsea wako kama United, kila mtu anataka kufunga, hawana ushirikiano kule mbele wa kutosha. Sidhani kama atapata ushirikiano kama anaoupata Inter na kwa umri wake wa miaka 27 it is too risk kumleta. Kwa nini wasilete damu changa. Nimesoma mahali pia wanamtaka Jesus Corona wa Porto miaka 28BBC TETESI ZA USAJILI
Chelsea inafikiria kwamba itamnunua mchezaji wa Ubeljigi na aliyekuwa mshambuliaji wa Blues Romelu Lukaku, 27, ikiwa itashindwa kumsajili mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland, 20, msimu huu. (Telegraph)View attachment 1737486
Manchester City pia ina mnyatia Lukaku, ambaye amefunga mabao 59 baada kuchezea mechi 85 Inter Milan. (Calciomercato, via Manchester Evening News)