OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,312
Upepo ume change mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waje kutafuta nini wakati team zao zinateseka?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Upepo ume change mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waje kutafuta nini wakati team zao zinateseka?
Thiago SilverToa christensen weka Thiago silva huyu mwamba akiwa fit Hakuna mtu wakumuweka benchi
rudiger almkera ad akajskia vbaya[emoji81][emoji81]Thiago SilverView attachment 1732704
Watu kama hawa ndio tunawataka
Bado wanadhani mpira ni bahatiWatu kama hawa ndio tunawataka
Pamoja na hayo hatutakiwi kuibeza kabisa hiyo game.Porto legend Futre ‘disgusted’ by Chelsea’s reaction to Champions League quarter-final draw
Futre has aired his frustration at Chelsea writing off Porto, especially as they dashed the dreams of Cristiano Ronaldo and Juventus in the last-16, and has urged Sergio Conceicao’s side to prove another point to those that continue to doubt them.
He has told CMTV: “Chelsea players celebrated when they heard that they had drawn Porto.
“How did I know? It’s in the English press and I called later to confirm.
“FC Porto players have to run like never before in these two games. Do you know why? Because Chelsea think they have already won the tie. They celebrated!
“When I spoke to the source I was disgusted and I would give anything to play against Chelsea.
“FC Porto players now have to give their all on the pitch, because Chelsea think they are already in the semi-finals. They celebrated in the morning when they saw they got FC Porto.
“Porto can get through, but they have to sweat blood.”
H2H Facts
- Porto haijawahi kuitoa Chelsea kwenye haya mashindano kwenye knockout stage
- Chelsea na Porto zimekutana mara 8 na Chelsea kushinda mara 5 na droo 1 na kushindwa mara 2
Tena ukitafsiri maneno ya kocha wao na ya huyu Legend wao utaona kuwa wanawatia hasira wachezaji ili siku ile wajitoe kindakindaki. Wataingia kama Underdog na kwa hiyo wanaweza wakatuumiza kama wachezaji wetu wataingia kwenye hiyo mechi na over confidence za kijinga jingaPamoja na hayo hatutakiwi kuibeza kabisa hiyo game.
Porto wako sahihi kabisa kusema hivo maana nimeona tayari tumeshaanza kuibeza na tumeanza kupiga hesabu za nusu fainali bila kujua kua tunatakiwa kupambana kuhakikisha tunavuka hapo. Porto watatusumbua sn tena sn kuliko ata ATM. Na game yoyote ya UCL lazima iwe tough... Kwahiyo kuna kz kubwa sn mbele yetu ingawa natambua wazi Tuchel anaelewa sn umuhimu wa hii game na kuwaandaa vzr wachezaji wake.
Sema tutakua na ratiba iliyobanana sn kuanzia tarehe 3 mwezi wa 4 mpk tarehe 17. Tunataki kucheza game 5 kwa siku 14.
Game mbili za EPL, game mbili za UEFA na game moja ya FA nusu fainali...
Yaani naona uchovu utaanza kuingia na wachezaji kuanza kupoteza concentration km game ya juzi na Shelfild Utd.
Namuamini sn Tuchel. Kila mchezo kwake ni muhimu tumeona ata ktk game ya juzi na Sheffield Utd. Hakuibeza hiyo timu kabisa. Kwahiyo kwa Fc Porto waache wajidanganye tu maana huo u underdog wanajipa wao wenyewe... Lkn Chelsea ndio inayoonekana underdog sema imewatisha kwa kuipiga kumbo AtmTena ukitafsiri maneno ya kocha wao na ya huyu Legend wao utaona kuwa wanawatia hasira wachezaji ili siku ile wajitoe kindakindaki. Wataingia kama Underdog na kwa hiyo wanaweza wakatuumiza kama wachezaji wetu wataingia kwenye hiyo mechi na over confidence za kijinga jinga
hii lazima itakuwa 99/2000. terry na lampad walikuwa bado academy
Umepatia. Enzi za legend Gianfranco Zola na kocha mchezaji Gianluca Viallihii lazima itakuwa 99/2000. terry na lampad walikuwa bado academy
Nasikia huyo Dennis wise alikuwa mtukutu balaa....embu malegend mtuambieUmepatia. Enzi za legend Gianfranco Zola na kocha mchezaji Gianluca Vialli
Mtukutu kwa namna ipi? Ni neno pana sanaNasikia huyo Dennis wise alikuwa mtukutu balaa....embu malegend mtuambie
Nazungumzia ule utukutu wa ndani ya uwanja km kina Roy Keane. Au kina pepe..yaan ye kutoka na Kadi za njano au nyekundu ni kawaida kwakeMtukutu kwa namna ipi? Ni neno pana sana
Apa namjua De Matteo tu dah[emoji23][emoji23][emoji23]