ata Leicester anajitahid pia[emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi munajitahidi kidogo.
Nzi wòte wapo mashine unga ukipanda bei watakuja mtaaaniHuu uzi wetu kwa sasa nzi wamepungua kinoma. Mara moja moja nawaona mmoja mmoja.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hapo ndio atajua hajui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wachezaj 15 uwanjan[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1731950
Huo ujasiri wakuja mwenye uzi wetu unaupata wapi?Orachuga unahaki kuzurura na kimini chako cha blue kila pembe ya mtaa.
Sijui anaupatia wapi huyu mtu, itakuwa ndo katoka shimoni uko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo ujasiri wakuja mwenye uzi wetu unaupata wapi?
Sisi ndo tushakolea tena hatuna cha msalia mtume tena..Nzi wòte wapo mashine unga ukipanda bei watakuja mtaaani
Kwa mount naona bado labda kama wampe second captain ili azidi kupata uzoefuMason Mount anaandaliwa kuwa mrithi wa Azpilicueta je ataweza kubeba mikoba ya Azpi?
Sifa za Captain mzuri ni
John Terry backed the Chelsea midfielder to follow in his footsteps via an Instagram live story.
- Yeye binafsi kuwa mfano kwa wenzake kitabia, kwa maneno/speech, kimtizamo na kiuchezaji ndani na nje ya uwanja
- Positive mentality kwa mambo yote
- Uwezo wa kuwahamasisha wenzake kufanya vizuri mazoezini, dressing room na uwanjani
- Uwezo wa kufanya maamuzi yenye tija kwa timu na wenzake
Ashley Cole and Jamie Redknapp admitted on Sky Sports they saw him as a future Blues captain.
Waje kutafuta nini wakati team zao zinateseka?Huu uzi wetu kwa sasa nzi wamepungua kinoma. Mara moja moja nawaona mmoja mmoja.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Gibs alikua nyekundu badala ya Oxalander ChamberlainSiku kama ya leo 2014 Arse8 alichezea bao 6 kwa 1 pale darajani, wafungaji akiwa Eto'o, Oscar, Shurrle, Salah na Hazard...[emoji3][emoji3][emoji3]
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha hawachezaj 15 uwanjan[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1731950
Uyu si alidaka mpira kama kipa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alizingua sana.Gibs alikua nyekundu badala ya Oxalander ChamberlainView attachment 1732694