Dah amekosa kabisa cha kumsemea akaona atumie meno tu maana viungo vyote ni vyizima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TT mjanja sana hataki kumuachia Mendy aende Senegal, ety Mendy anaumwa meno [emoji23][emoji23][emoji23] anaogopa asije kwenda halafu avunjwe huko tushindwe kumfunga man City na kuchukua FA & UEFA
😂😂😂 Nadhani hapakuwa na namna ikabid iwe hivyo tuuDah amekosa kabisa cha kumsemea akaona atumie meno tu maana viungo vyote ni vyizima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wangapi wameenda timu ya taifa kwao???TT mjanja sana hataki kumuachia Mendy aende Senegal, ety Mendy anaumwa meno [emoji23][emoji23][emoji23] anaogopa asije kwenda halafu avunjwe huko tushindwe kumfunga man City na kuchukua FA & UEFA
Ahh sijafatilia mzeWangapi wameenda timu ya taifa kwao???
Kuna baadhi ya timu zitawazuia wachezaji wao kwenda international break hasa wale walio kwenye red list countries kama BrazilTT mjanja sana hataki kumuachia Mendy aende Senegal, ety Mendy anaumwa meno 😂😂😂 anaogopa asije kwenda halafu avunjwe huko tushindwe kumfunga man City na kuchukua FA & UEFA
Chelsea Vs Man CityUCL Final in Istanbul
Predictions
Chelsea VS Bayern Munich
Points 23 hapo + 51 jumla 74, nafasi ya pili hiyoTUNAANZA KUTICK MKEKA.
Vs Sheffield United - (Chelsea WIN)![]()
Vs West Brom - (Chelsea WIN)
Vs Crystal palace - (Chelsea WIN)
Vs Brighton - (Chelsea WIN)
Vs Westham utd - (Chelsea DRAW)
Vs Fulham - (Chelsea WIN)
Vs Man City - (Chelsea DRAW)
Vs Arse8 - (Chelsea WIN)
Vs Leicester city - (Chelsea WIN)
Vs Aston villa - (Chelsea WIN)
Bahati mbaya huwa simuamini PEP kwenye UCL, hata alipokuwa Barca na Bayern ni hivyo hivyo. Anaweza akatolewa na Dortmund au BayernChelsea Vs Man City
Huyu Ziyech fitness yake ikikubali na akiepuka majeruhi mtampenda bure kwa assists na magoliLondon WIZARD goal View attachment 1731546
Ila Chelsea tuna vifaa ila hatujui tuLondon WIZARD goal View attachment 1731546
Nimeipenda hiyo ya Zouma kuwakusanya mabeki watatu, walimkamia kwelikweli ili asifunge kwa kichwaShelfled utd OWN GOALView attachment 1731545
Toa christensen weka Thiago silva huyu mwamba akiwa fit Hakuna mtu wakumuweka benchiChilwell - Kante - Kovacic - James
Rudger- Christensen - Azipu
----------------- Mendy ---------------
Kwa upangaji huu wa wachezaji nyuma mpaka katikati game tunaishika, clean sheet tayari
Sterling vs James & Azipu
Silva/ Marhez vs Chilwell & Rudger
Jesus vs Christensen/Zouma ni RIP kwa Jesus
KDB tunamkabidhi binadamu mwenye moyo wa farasi Ngole Kante.
Kamanda Kova kama kawa kutembeza virungu vya miguu hapo katikati.
Kule mbe TT apange yeyote.
Mechi na city inaweza isha DRAW mshindi akapatikana kwa changamoto za PENATI (Kwa hatua kwenye FA & UCL)
Msimu huu Pep anapiga tofauti na misimu mingine. Amini nakuambia hawa kina Canceli na stones wamekuza viwango sana maana ndio waliokua wanamrudisha nyuma.Bahati mbaya huwa simuamini PEP kwenye UCL, hata alipokuwa Barca na Bayern ni hivyo hivyo. Anaweza akatolewa na Dortmund au Bayern
Mechi mbona mbali sana, Silva atakuwa kapona, Akiwa fit mimi napendekeza yeye acheze mechi kubwaThiago kwa sasa tunampunzisha apone majereha vizuri, anao vijana wake Christensen na Zouma watafanya kazi yake. Usihofu.