Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Supper sport wameonyesha kuwa Emerson ndie anayecheza CB wa kushoto na Chillwell Wing-back wa kushoto sasa nadhani Suppersport ndio wako correct kwa sababu wanapokea direct kutoka uwanjani
Yes mkuu.

Ila huyu Thomas Tuchel no kocha mzuri sn Chelsea hatujawahi kupata. Nimekuwa namuelewa sn kwa kila kitu na moja ya kitu ninachompongeza huyu kocha ni kuweza kuwapa nafasi wachezaji wote ya kucheza.

Alafu ana mbinu Fulani kwa kutegemea uwezo wa wachezaji.

Mafano Leo ako na mfumo was 3+4+3 lkn hii ni km 4+3+3 maana anatumia uwezo was Christiansen kucheza kulia anakava mpk beki ya kulia ya pembeni. Kwahiyo Odoi muda wote anashambulia tu.

Wakati huo Emerson anaweza kucheza km cb wa kati upande wa kushoto na anacheza pia beki wa kushoto wa pembeni km Ben Chilwell kapanda mbele sn.

Kwa maana hiyo basi km tunashambuliwa sn ndio utamuona Ben anarudi ktk nafasi yake na Odoi na hawa cb watatu wanarudi kati wote

Lkn Tuchel ni bomba la kocha na atatupeleka mbali sn kwa hiki kikosi kipana tulicho nacho.

Jambo jingine naona Pulisic anachezewa sn rafu yaani kila akigusa mpira wanamla

Kwa namna tulivyo na njaa namna hii makombe haya yanayo zagaa zagaa mbele yetu la FA na UEFA tunayabeba yote
 
Timu ya leo inacheza na silly mistakes nyingi. Ni kwa vile tunacheza na Sheffield tu. KOvacic anabutua kwenye baadhi ya occasions, Odoi ana papara makosa kama mbiuli iligharimu kupoteza mpira.
Goli la Chilwell kumbabatiza beki wa Shefield United imetokana na mabeki kama watatu wote kumkimbilia Zouma kumzuia asipige kichwa na hivyo kuwa big void ambayo Chillwell aliitumia vizuri
 
Yes mkuu.

Ila huyu Thomas Tuchel no kocha mzuri sn Chelsea hatujawahi kupata. Nimekuwa namuelewa sn kwa kila kitu na moja ya kitu ninachompongeza huyu kocha ni kuweza kuwapa nafasi wachezaji wote ya kucheza.

Alafu ana mbinu Fulani kwa kutegemea uwezo wa wachezaji.

Mafano Leo ako na mfumo was 3+4+3 lkn hii ni km 4+3+3 maana anatumia uwezo was Christiansen kucheza kulia anakava mpk beki ya kulia ya pembeni. Kwahiyo Odoi muda wote anashambulia tu.

Wakati huo Emerson anaweza kucheza km cb wa kati upande wa kushoto na anacheza pia beki wa kushoto wa pembeni km Ben Chilwell kapanda mbele sn.

Kwa maana hiyo basi km tunashambuliwa sn ndio utamuona Ben anarudi ktk nafasi yake na Odoi na hawa cb watatu wanarudi kati wote

Lkn Tuchel ni bomba la kocha na atatupeleka mbali sn kwa hiki kikosi kipana tulicho nacho.

Jambo jingine naona Pulisic anachezewa sn rafu yaani kila akigusa mpira wanamla

Kwa namna tulivyo na njaa namna hii makombe haya yanayo zagaa zagaa mbele yetu la FA na UEFA tunayabeba yote
Kwamba mkuuu yanazagaaa haha sie tunabeba yote
 
Nimefuatilia Chilwell na Emerson, Chillwell akienda mbele, Emerson anabaki kukaba kama CB na Emerson akienda mbele, Chillwell anabaki kukaba kama CB ni kama wote wanacheza Wing-back kwa pamoja. Odoi yeye muda wote yuko mbele kama winga
 
Mabuti anayokula Pulisic jamani atapona leo kweli? ndani ya dk kama 5 hivi kalimwa mara 4, mpaka sasa sijui kalimwa buti ngapi?
 
Mm nnayefatilia h mechi kwenye livescores naona shot on target ni moja tuu, vp vijana wanazngua au tumebanwa.?
 
Chelsea wamelemewa na kukoswa koswa kati ya dk 60 hadi 75 hivi, TT kafanya mabadiliko ikaleta ahueni
 
FT Chelsea 2 Sheffield United 0

Chelsea wanaingia kwenye nusu fainali ya FA mara ya nne katika misimu mitano iliyopita

Mechi ya 14 unbeaten
Mechi ya 14 na clean sheet 12
Mechi ya 14 na magoli 2 tu ya kufungwa
Je wanahesabu au hawajui kusoma tumeruhusu goal 2 hatar sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom