Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji1001] Chelsea’s next fixtures:

Chelsea vs Sheffield Utd (21/03)
Chelsea vs West Brom (03/04)
Porto vs Chelsea 1st leg (06/04)
Crystal Palace vs Chelsea (10/04)
Chelsea vs Porto 2nd leg (13/04)
Chelsea vs Brighton (17/04)
West Ham vs Chelsea (24/04)

Those two Champions League games slot in absolutely perfectly.
Hizi timu ndogo ndogo hizi zinakuwaga mtihani kweli kuzifunga. Mfano hawa Westbrom, crystal palace ..mimi naona Tuchel akaze zaid kwenye FA na hata UEFA ikiwezekana abebe moja huku kwenye ligi tukomae tu kubaki top four.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Milio imeanza kusikika sn huko Ulaya.... Kocha Munich amesema wazi wazi kua Chelsea wanaweza kubeba kombe la UEFA.... Wameanza sasa kutuogopa...

Na ma pundits wengi wa soka uko ulaya wameanza kubadilisha milio...

Mwanzo walikua wanasema Tuchel akikutana na Spurs na Mourinho itakua mtihani mkubwa kwake na kipimo kikubwa sn kwa Tuchel na Chelsea... Kakutana nae na akampiga.

Wakaja tena, Man Utd, Liver Mara ratiba mgumu na Mara ATM ni timu ngumu lkn kote amevuka....

Sasa ma pundits wanasema Thomas Tuchel He is there to win the game....

Jamani ngoma imeshavuma sn mpk saizi wameanza kutuogopa maana record za Clean Sheet, unbeaten na magoli 2 ya kufungwa ktk game 13.. Wastani wa ball possession vinawatisha sn watu sasa.

Ndoo maana Tuchel alisema wazi kua hakuna timu inataka kukutana na sisi.... Na huo ndio ukweli

Gari limekorea na sasa ninaporomoka ktk mteremko yoyote akikaa mbele linamsaga tu
 
Bila kukaza huko kwa hizo team ndogo hatuwezi ingia top four. Kote ni muhimu cha msingi wchezaji wsipoteze focus hii consistency inaweza potea halafu tukaanza tafutana nani mchawi
 
Milio imeanza kusikika sn huko Ulaya.... Kocha Munich amesema wazi wazi kua Chelsea wanaweza kubeba kombe la UEFA.... Wameanza sasa kutuogopa...

Na ma pundits wengi wa soka uko ulaya wameanza kubadilisha milio...

Mwanzo walikua wanasema Tuchel akikutana na Spurs na Mourinho itakua mtihani mkubwa kwake na kipimo kikubwa sn kwa Tuchel na Chelsea... Kakutana nae na akampiga.

Wakaja tena, Man Utd, Liver Mara ratiba mgumu na Mara ATM ni timu ngumu lkn kote amevuka....

Sasa ma pundits wanasema Thomas Tuchel He is there to win the game....

Jamani ngoma imeshavuma sn mpk saizi wameanza kutuogopa maana record za Clean Sheet, unbeaten na magoli 2 ya kufungwa ktk game 13.. Wastani wa ball possession vinawatisha sn watu sasa.

Ndoo maana Tuchel alisema wazi kua hakuna timu inataka kukutana na sisi.... Na huo ndio ukweli

Gari limekorea na sasa ninaporomoka ktk mteremko yoyote akikaa mbele linamsaga tu
Habari kama hizi vile vitoto vya Arsenal havipendi kuzisikia. Vinaumia mioyo yao
 
Kai Havertz, Timo Werner na Hakim Ziyech kule mbele wanaendana, Kocha anatakiwa kuweka notice ya hiyo
Ref: Mechi na ATM
 
Kati ya September na December 2020 Favourites wa UEFA Title walikuwa ni
  1. Bayern Munich
  2. Paris Saint-Germain
  3. Manchester City
  4. Liverpool
  5. Barcelona
Waliobaki underdogs

Mwanzoni wa February 2021 watabiri wengi walitabiria hizi timu kubeba ndoo ya UEFA
  1. Bayern Munich
  2. Manchester City
  3. PSG
  4. Liverpool
  5. Juventus
Sasa Juve hawapo na Ronaldo wake
Na. 1 hadi 3 ni mmoja tu anaweza kubeba
Chelsea wala Real Madrid wala Porto hazikutabiriwa kabisa
Je hizo timu ni underdogs na mmoja wao anaweza beba hilo kombe?

Sasa baada ya mechi za group of 16 kuisha favourites ni
  1. Manchester City
  2. Bayern Munich
  3. Chelsea
  4. Liverpool
  5. PSG
Waliobaki akiwemo Liverpool, Real Madrid ni Underdogs
 
Latest Champions League winner odds
  1. Manchester City @ 2/1.
  2. Bayern Munich @ 4/1.
  3. Chelsea @ 5/1.
  4. Liverpool @ 11/2.
  5. PSG @ 8/1.
  6. Real Madrid @ 10/1.
  7. Borussia Dortmund @ 25/1.
  8. Porto @ 35/1.
Odd inavyokuwa kubwa maana yake less favorite to win
Hizo timu kuanzia namba 4 zinaitwa underdogs sasa hivi, Chelsea wameiondoa kwenye underdog baada ya kuifunga ATM na kuonyesha kandanda safi
 
Ben Chilwell akiteta na tovuti ya Chelsea asema:

Ben Chilwell adai ushindani mkubwa na kikosi kipana ndani ya Chelsea sio siri ya mafanikio.
Ameendelea kudai kuwa wanapoenda kwenye mechi hawajui nani anaanza na katika nafasi ipi? Na hii ni nzuri kwa timu kwa sababu tunayo kikosi kipana sana yenye wachezaji wenye vipaji mbalimbali na kila mmoja anapigani nafasi 11 tu
Wakati wa mazoezi kila mmoja wetu anapigania hiyo nafasi na hii ndio siri ya kwa nini Chelsea ni wakali mbele na nyuma ni imara na hii ndio sababu kwa nini hatukufungwa hadi sasa
 
Milio imeanza kusikika sn huko Ulaya.... Kocha Munich amesema wazi wazi kua Chelsea wanaweza kubeba kombe la UEFA.... Wameanza sasa kutuogopa...

Na ma pundits wengi wa soka uko ulaya wameanza kubadilisha milio...

Mwanzo walikua wanasema Tuchel akikutana na Spurs na Mourinho itakua mtihani mkubwa kwake na kipimo kikubwa sn kwa Tuchel na Chelsea... Kakutana nae na akampiga.

Wakaja tena, Man Utd, Liver Mara ratiba mgumu na Mara ATM ni timu ngumu lkn kote amevuka....

Sasa ma pundits wanasema Thomas Tuchel He is there to win the game....

Jamani ngoma imeshavuma sn mpk saizi wameanza kutuogopa maana record za Clean Sheet, unbeaten na magoli 2 ya kufungwa ktk game 13.. Wastani wa ball possession vinawatisha sn watu sasa.

Ndoo maana Tuchel alisema wazi kua hakuna timu inataka kukutana na sisi.... Na huo ndio ukweli

Gari limekorea na sasa ninaporomoka ktk mteremko yoyote akikaa mbele linamsaga tu
Wataisoma
 
Dah hizi ni habari mbaya kwa Hazard.
Screenshot_2021-03-21-11-31-10-113_com.twitter.android.jpg
 
Mkuu line up zako unaziokotaga wapi? Delete hiyo app yako

Hii ndio line up ya leo. View attachment 1730939
With due respect naomba msamaha, huwa nasc reenshot ya Google, kumbe nao wanaboronga. Huwa wanaweka saa moja kabla ila leo walichelewa hadi kwenye 10 kasoro hivi ndipo waliweka nikachota nikiamini ndio yenyewe kumbe wameboronga. Narudia, samahani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom