Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaani TT alipokua anahojiwa baada ya game na ATM.

Alisema hakuna timu inayotaka kucheza nao kwa sasa na akasema kua timu yake haipaswi kumuogopa yoyote....

Hizi ni kauli nzito sn anatoa saizi huyu TT.

Na unajua wakati anakabidhiwa timu baada ya kufukuzwa Lampard malengo makuu aliyopewa TT ni kuhakikisha Chelsea inamaliza ndani ya top four kitu ambacho mpk saizi ameshafanikiwa....

Na kutokana na kikosi chake kua ktk form mzuri sasa tones imeanza kubadilika kutoka kwake yeye TT na wachezaji kwa ujumla. Wanataka makombe yaani wanataka kushinda FA na UEFA.

Swali linakuja kuuuuubwa kwamba je TT alishindwa kushinda UEFA akiwa na kina Mbape na Neymar je ataweza kuchukua kombe na hii squad ya Chelsea yenye wachezaji wa kawaida?????

Kazi kwetu wana Chelsea wenzangu nini maono yenu?
Mkuu wachezaji wa PSG ni tofauti kabisa na wachezaji wetu kwanzia namna ya kufikiri kwao, mtizamo wao, kuna mambo mengi yanachangia timu kama ile isipate matokeo makubwa hasa kwenye UEFA. Mfano ustaa wa wachezaji wake, wengi tunajua PSG imesheheni mastaa wakubwa tu ..mfano naangalia Madirid ya akina David Beckham, zinedine, Ronaldo na mastaa wengine haikuweza kubeba UEFA kabisa japo ilikuwa imekamilika.

Wakati mwingine ili uweze ku win makombe siyo lazima uwe na wachezaji wote mastaa au wanaojua sana ..wakati mwingine ni kocha tu mwenye uwezo wa kuwaunganisha wachezaji na kuwaleta pamoja na kuhakikisha ana win mentality au/na mioyo yao ili kuwafanya wajihamini zaidi ..angali 2011 tunachukua UEFA mbele ya Bayern yenye kila resource nzuri kwanzia kipa hadi mbele uko ..tena ndani ya ardhi yao
 
Chelsea haina wachezaji wa kawaida chief
 
Unahitaji wachezaji wanaomsikilza na kumtii kocha, ndio maana PEP huwa hawapendi mastaa kabisa, wana viburi. Akiwa Barca alishagombana na Ture na Etoo. ni Messi pekee ndie staa anayemsikiliza kocha na hao wako wachache
 
Jamani naombeni ufafanuzi kwenye kapanga draw za team zitakazoenda robo fainal kitu gani wanazingatia katika either team kuanzia home au away?
lembu
Antonio Conte
Cash Money Forever
Timu itakayoanza kutajwa ndio itakayo anzia nyumbani kwake mfano hapo FC Porto ndio ilianza kutajwa then ikafata Chelsea so automaticaly inakua ivyo. Kama wangenza kutaja Chelsea basi tungeanzia darajani then tukaenda Portugal.
 
Fungua picha na kuacha LIKE kama kweli vile historia inaenda kujirudia
IMG_20210319_164959_100.jpg
 
Fainali ni chelsea na Bayern Munich. Bayern wana watu wengi sana wa kuamua matokeo,

Lewandoski, Muller, Kimmich, Sane, Gnabry

Halafu kitu kibaya zaidi siyo watu wa kupoteza chances.
Mkuu Man City usiwachukulie poa. Pep anavyochezesha timu yake unaona kabisa kuna jambo lake analitafuta na kama atashindwa kufika final msimu huu hatakuja tena kunusa hata robo.

Japo Bayern nayo sio ya kubeza ila sioni kama wanaweza kufurukuta kwa Man City hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom