John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
Final: Chelsea vs ManCity
Ubashiri tu ambao unaweza usitokee. Nisipigwe mawe tafadhali!
Kwa jinsi nyumbu walivyomfunga city ...ole ameexpose tena weakness ya pep akikutana na timu za Aina hyo....kama msimu uliopita mlisema hvyohvyo Kwa olympique Lyon ..bado pep hajalipatia uvumbuzi si ajabu mechi ya Dortmund ikatushangaza😃Mkuu Man City usiwachukulie poa. Pep anavyochezesha timu yake unaona kabisa kuna jambo lake analitafuta na kama atashindwa kufika final msimu huu hatakuja tena kunusa hata robo.
Japo Bayern nayo sio ya kubeza ila sioni kama wanaweza kufurukuta kwa Man City hii