Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona Andy Christiansen hajapangwa Leo ktk kikosi wala ktk sub hayupo nini shida?

Yupo Rudiger, Zouma na Azpilicueta na James na Alonso
 
Naona Andy Christiansen hajapangwa Leo ktk kikosi wala ktk sub hayupo nini shida?

Yupo Rudiger, Zouma na Azpilicueta na James na Alonso
Dah jamaa alikuwa amezaliwa upya alikuwa poa Sana kwenye hizi game tulizomkosa thiago ...VP game unaionaje kulingana na selection iliyofanywa?
 
Dah jamaa alikuwa amezaliwa upya alikuwa poa Sana kwenye hizi game tulizomkosa thiago ...VP game unaionaje kulingana na selection iliyofanywa?
Selection iko vzr maana ata ktk sub kaacha nguvu nzuri ya kuweza kusaidia na kubadilisha mchezo....

IMG_20210317_221238.jpg
 
Simeone hajaja na plan yeyote, mpira unachezwa golini kwake
 
Chelsea Goooooooal!!!!!!!!!!!

Hakim Ziyech assisted by Timo Werner
Agg 2-0
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom