Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kikosi kesho Nyuma haitaguswa ispokuwa Alonso badala ya Chilly
Formation ni 3-4-2-1

----------------------------Giroud----------------------------

Werner ---------- --------- Odoi

Alonso --------- Kovacic ---------Kante --------- Reece

Rudiger ------------- Christensen-------------Azpilicueta

----------------------------Mendy----------------------------


Sub zitakazotumika
  1. Havertz
  2. Ziyech
  3. Pulisic
  4. Billy
 
Naona ktk game ijayo na ATM tunawakosa wachezaji wanne tu. Tammy, Silva. Mount na Jorginho.


Wengine wote wapo vzr wa afya njema wanasuniri game...
 
Diego Simeone confirms Joao Felix will start for Atletico Madrid against #Chelsea.


Diego Simeone on Chelsea clash:

"We are playing against a team who are playing quite well. We have to win ."

[via Sam Inkersole]
 
Game yaleo nyepesi sana tu maana leo chelsea tuna shinda kwakishindo
Tusijipe mahopes sana, Atletico Madrid tangu siku nyingi wana mentality ya kushinda hili kombe hata kama wana timu mbovu, sijui kwa Chelsea kama hawa wachezaji tulionao wana hiyo mentality. Muhimu leo tusiwape wakae na mpira
 
Nani kakuambia atakuja na huo mfumo? Tuchel ni kocha anaejielewa hawezi kuja na huo mfumo
Hamna aliyeniambia. Ni vile naona strength yenu kwa sasa ipo kwenye 3 4 3 zaidi na last game alivyojaribu 4 2 3 1 hamkua vizuri sana.
 
Tusijipe mahopes sana, Atletico Madrid tangu siku nyingi wana mentality ya kushinda hili kombe hata kama wana timu mbovu, sijui kwa Chelsea kama hawa wachezaji tulionao wana hiyo mentality. Muhimu leo tusiwape wakae na mpira
Ni sahihi mkuu! Maana hawa ATM wana history ya kupindiu matokeo hapo darajani.


Ktk utawala wa Mourinho Mara ya pili hapo darajani... Tulikwenda kwao hao ATM tukatoka nao sare na baada ya hapo hao ATM wakaja darajani. Tukiwa hapo darajani tukatangulia kuwafunga goli hao ATM... Bada ya hapo Mourinho akaamua kua ktk defensive shape na kutoa wachezaji kadhaa na kujirinda zaidi basi baada ya hapo hawa ATM wakapindiu matokeo na kututupa nje ya mashindano.


Jambo jingine last season hawa ATM waliitupa Liverpool hapo An field..... Wakapindiu meza.


Kwahiyo binafsi natambua kua ni game ngumu sn.... Na hawa ATM watakuja na hasira an km nyuki yaani itakua ni shida sn.
 
Leo ATM anakufa vizuri kabisa kama unabet bet kabisa ule mzigo
Mnapasuka. Sisi tumemuambia boss awaweke Joao na Luis mbele pale utaona mtu anavyoteleza, yaani mkitutibua sana hata goli hampati.

Mashabiki wenzangu wa Milan mjiandae kesho shetani linarudishwa kuzimu limezurura sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom