Endapo havertz akimaintain kiwango chake kama cha mech 2 zilizopita anaweza wasumbua atl defenc yaoGame la kwanza Mount aliwasumbua sana Atletico. Bila mount aisee sijui itakuaje, ukute anaemreplace mount ni Havertz legelege.
Huenda akampanga ziyech nyuma ya kina giroud na Timo kwenye 3-4-1-2.....Mzee Mbona havertz angalau kacheza fresh kwenye hyo POS ktk hizi games 2 zilizopita ..tofauti na tulivyokuwa tunamuona wkt anachezeshwa winger na lampsGame la kwanza Mount aliwasumbua sana Atletico. Bila mount aisee sijui itakuaje, ukute anaemreplace mount ni Havertz legelege.
Mabadiliko ya kesho lazima Alonso na Giroud waanze, pia Werner na Odoi possibly ila mimi ningependelea Ziyech na Pulisic wangecheza, Pulisic acheze nafasi yake ya Kushoto na Ziyech kulia, mechi iliyopita walionyesha ubora wao unapanda, wakiachwa ndio tutawakosa kabisa msimu wa kiangazi, sub ziwe za Havertz, Werner na Odoi kwa mbele, pia Billy apewe muda kidogo mwishoni hali ikiwa nzuriEndapo havertz akimaintain kiwango chake kama cha mech 2 zilizopita anaweza wasumbua atl defenc yao
Ila nategemea kesho kumuona timo na giroud wakianza
Havertz kalegea sana.Huenda akampanga ziyech nyuma ya kina giroud na Timo kwenye 3-4-1-2.....Mzee Mbona havertz angalau kacheza fresh kwenye hyo POS ktk hizi games 2 zilizopita ..tofauti na tulivyokuwa tunamuona wkt anachezeshwa winger na lamps
Na ndio maana hafai kucheza nyuma au nafasi yeyote yenye defensive rolesHavertz kalegea sana.