Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Yaani ila ktk game na ATM atakuwepoBilly hata bench hajawekwa
Yaani ila ktk game na ATM atakuwepoBilly hata bench hajawekwa
Hahaah,hana maajabu na Ole gunar alishinda zote hizoThomas TuchelView attachment 1723823
Mwenye maajabu Nani?Hahaah,hana maajabu na Ole gunar alishinda zote hizo
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄na km tutashinda goal nyingi mapema
Chelsea bado haina kocha kabisaaa
Bisheni ila ndio ukweli, Kocha bado
Mfumo haukua mzuri yaani hii 4+2+3+1 sio nzuri imewapa Leeds nafasi za kutusumbua na Chelsea pia hawakua na performance nzuri Leo karibu timu yote kwa ujumla....Dah DRAW kwa waliongalia mechi tupeni analysis why draw?
Na hizo assists mnaongoza ligi, hongereniAssists this season:
Willian 7
Ziyech 1
Havertz 2
Pulisic 0