John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
Huyu Mbona naye km anaonekana pancha Tu km pulisic?BBC TETESI ZA USAJILI
Chelsea inamnyatia winga wa Bayern Munich raia wa Ufaransa Kingsley Coman, 24, kama mwenye uwezekano wa kuchukua nafasi ya Christian Pulisic, wakati ambapo mchezaji huyo wa miaka, 22, raia wa Marekani ameonesha kuwa anataka kuondoka Stamford Bridge. (Mail)