Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Ok
Ww unamtaka mchezaji gan ssa kam Ben auzwe??? Du binadamu hamna shukraniHalafu pia Chiwell ni wa kuuzwa hapaswi kabisa hata kuwa kwenye benchi la chelsea, mchezaji wa hovyo kbs.
Uzee dawa we si unaona giroud akipewa nafasi anavyowafundisha vijanaPamoja na kusajili wachezaji vijana kibao bado tuna pengo la wazee Hazard, Fabrigas, Costa, Willan, Pedro.
Quality saves kama 3, moja ya urefu angekuwepo Kepa hata kwenye ubora wake asingeweza kusave kwa sababu mpira ulidonolewa kwenye 90 degree angle ya juu ya goli ikagonga mwamba ikarudi uwanjani. Angekuwa Kepa futi za urefu zingekuwa limit kwakeSave ya leo? Mendy bonge la kipa clean sheet ndio chakula chake. The blues kwa defensive tupo vizuri sana tatizo linabaki kule mbele tuu kwenye kupachika mabao kupata point 3 muhimu.
Ni kweli kabisa, hii form ikiendelea basi nyuma tutaendelea kuwa vizuriLeo Tony Rudiger alikua on fire......View attachment 1724764
Hiyo nafasi unayopendekeza itabidi wapambanie na Mount kwa sababu TT amekuwa akimtumia hapo hasa kwenye mifumo ya 3-4-1-2 au 4-2-3-1Marhez yeye anaweza kukokota mpira sn lkn sio mzuri ktk pasi....
Ziyench ni mzuri ktk kutoa pass sn lkn hana uwezo mkubwa kukokota mpira km Marhez....
Mimi naona Ziyench akicheza ktk dimba la kati juu ya double six anakuwa na uwezo wa kutupa passes kokote kule
Mimi siwezi nikamtaka mchezaji, mi naongelea uchezaji wake ni wa hovyo. Chiwell ni mzigo utakuja nielewa tu siku za mbeleni.Ww unamtaka mchezaji gan ssa kam Ben auzwe??? Du binadamu hamna shukrani
Kuna mdau mmoja anaitwa juan david alishawahi kusema kuna wachezaji wazuri tu ila presure za timu kubwa hawaziwezi na ndio chanzo cha kucheza vibaya. Mmoja wa wachezaji hao ni Werner, Havertz, Ziyech nk1. Chilwell
2. Harvetz
3. Ziyech
4. Werner
5. Pulisic
6. Keppa
Ni wachezaji wazuri sana lakini sio wa hadhi ya club kubwa kama Chelsea yenye malengo ya kuchukua angalau kombe 1 kwa msimu.
Hata Ziyech yuko vizuri kwenye pasi na kufunga, Mahrez kamzidi kwenye dribbling tu na Mahrez yuko kwenye mfumo uliokaa vizuri na pia ana uzoefu wa kutosha kwenye EPL wakati Ziyech ni mgeni kwenye EPL na kaikuta Chelsea ambayo bado ni kichwa cha mwenda wazimu kila kocha anaijaribuAcha kumlinganisha mahrezna vitu vya kijinga.
Mahrez yupo vzr kwenye dribble, pass na kufunga.
Hakuna kitu ziyech anamfikia mahrez
Chelsea ni aina nyingine ya utakatishaji fedhaUza Pulisic leta Son
Uza Ziyech + Odoi leta Mbappe au Sancho
Uza Werner + Giroud + Harvetz leta Harry Kane au Haaland
UKIONA HIVO UJUE SIKU ZENU ZA KUCHEZEA VIPIGO ZINAHESABIKAMendy katubeba jana kinoma.
huko ucl mkapigwa 7.. jiandae msimu huu kutoka kapa tenaSawa Hadija kopa, bora ufunge bakuli tuu unaitabiriaga mabaya Chelsea mwisho wa siku unaumbuka vibaya.
Ulishawahi kusema Chelsea itashuka daraja chini la Lampard, wanaume tunaingia UCL nyie mkaenda usiku wa send off kuolewa.
The BLUES chama kubwa la kupambania ubingwa EPL & UCL sio kupambania kushiriki Europa.
Never cross us, we'will make you target.
Sio rahisi kama unavyoandika hapo,Uza Pulisic leta Son
Uza Ziyech + Odoi leta Mbappe au Sancho
Uza Werner + Giroud + Harvetz leta Harry Kane au Haaland