Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

106 touches
88% passing accuracy
14 duels
11 ball recoveries
5/6 take-ons completed
4 clearances
3 tackles
3 chances created
2 interceptions
1 block
1 shot
1 foul won

Ngolo Kante was back to his best today!!! Needs to start against ATM.
IMG_20210313_185116.jpg
 
Oky nashukuru kwa analysis, nimepata mwanga kidogo mechi ilikuwaje.

Tatizo la kutofunga magoli kule mbele halitapatiwa ufumbuzi kwa wachezaji hawa tulionao sasa hivi.

Pulisic, Ziyech, Harvetz, Werner, Tammy hawa wanastahili kutokea benchi SUB.

Tunamuhitaji striker aina ya Haaland pale mbele, tunahitaji mawinga wa kwendana na ugumu wa ligi ya EPL, hawa Pulisic, Harvetz, Ziyech wastage of time tuu.
Game ya Leeds imeshapita kilichopo mbele yetu ni game ya ATM...

Kwa namna alivyopumzisha wachezaji Leo TT kuna uwezekano mkubwa safu ya ulinzi ikiwa na walinzi watatu Azpilicueta, Christiansen na Rudiger.

Then tutakua na Reece James, Kante, Kovacic na Alonso.

Huko mbele kutakua na Odoi, Giroud na Kai...

Huyu Timo ataanzia Benchi siku hiyo... Na kwa squad hii ATM tutawafunga....

Anachotakiwa kufanya TT ni kuzichambua game za ATM za hivi karibuni kuangalia namna ya uchezaji wao tangu tulipo cheza nao last month na kisha kuja na ufumbuzi wa kukabiliana nao....

Ktk sub tutakua na Ziyench, Pulisic, Timo, Zuma, Ben Chilwell, Keppa, Gilmour

Tunahitaji siku hiyo kucheza kwa nguvu zote... Ni kukimbia sn siku hiyo maana Najua ATM watakuja wakiwa wakali sn.
 
Mfumo haukua mzuri yaani hii 4+2+3+1 sio nzuri imewapa Leeds nafasi za kutusumbua na Chelsea pia hawakua na performance nzuri Leo karibu timu yote kwa ujumla....

Pia hawa wachezaji wawili Ziyenchi na Pulisic wamepewa nafasi ya kuanza na wamecheza dk karibu 70 lkn wamecheza hovyo kabisa tena nafuu ya Ziyench kuliko huyu Pulsic....

Nafikiri koncha ilibidi apange kikosi hichi kwsbbu ya kuangalia game inayokuja ya ATM.... Maana j5 anatakiwa kurudi ktk strong squad yake na mfumo wake....

Tulipaswa kushinda hii game lkn tumewapa west ham utd nafasi ya kutufikia km na kutupita km wakishinda game zote mbili
Mimi naona Ziyech na Pulisic leo wameboresha quality yao tofauti na walipotoka majeruhi. Ni kwa sababu tu hizi mechi za mwishoni ni muhimu kwa top 4 ila Pulisic na Ziyech wanahitaji muda zaidi ili fitness iongezeke. Havertz leo kapooza kweli kweli na yeye ndie kiungo wa kupokea mipira mingi iliyokuwa inapotea, angekuwepo hapo Giroud hata Tammy tungepata goli. Pia umuhimu wa Alonso kwa mbele leo umeonekana. Chilwell yeye ni mkabaji zaidi. Nyuma na viungo leo wameendelea kucheza vizuri ball possesion ya 62% na on target 8 dhidi ya 4 ya Leeds sio haba. Tukirudi tutaanza na West Brom halafu Crystal Palace then Brighton Alvion, point 9 ziko hapo tufike 60
 
Ni kweli Pulisic na Ziyench wanahitaji muda zaidi lkn wanapopewa nafasi km hizi wanatakiwa kuonyesha huo ubora wao vzr yaani wazitumie nafasi zao vzr wanapopewa nafasi kucheza.

Kai Leo alicheza km no Tisa lkn ukiangalia kwa namna alivyocheza hawezi kucheza km no 9 halisi.. Hapo angekuwepo Giroud Leo mambo yangekua mengine kabisa.. Nafasi nzuri kwa Kai ni kucheza nyuma ya striker hali yaani no 9 halisi na si yeye awe no 9

Kuhusu Ben ni kweli Ben sio mzuri ktk kushambulia ata ktk kutoa pass za mwisho... Km angelikuwapo Alonso kwa nafasi zile Leeds walikua wanakufa....

Mwalimu amewatunza wachezaji wengine kwa ajili ya game ijayo maana hiyo game ni ngumu sn kwsbbu Diego Simeon atakuja na hasira km nyumbu alie jeruhiwa na watakuja na mfumo wa kukaba kitumu na kushambulia ki timu. Na kipindi cha kwanza kitakua kigumu mno kwa Chelsea maana dk 45 za mwanzo ATM vovote vile watahakikisha wanapata goli.... Hivo ni Chelsea kucheza kwa nguvu mno kuwazuia hawa jamaa.. Yaani watakuja wakali mno km nyuki walio tibuliwa ktk mzinga wao jua la saa8......
 
Save ya leo? Mendy bonge la kipa clean sheet ndio chakula chake. The blues kwa defensive tupo vizuri sana tatizo linabaki kule mbele tuu kwenye kupachika mabao kupata point 3 muhimu.
Naam ni save ya Leo.... Kafanya save mbili balaa leo.. Moja hiyo ya post ya 90... Na ingine ya kati....

Mendy ni kipa mzuri sn tena mwenye uwezo mkubwa sn.

Mimi naona kuna haja ya TT kuangalia nafasi nzuri ya kumchezesha Ziyench kwsbbu ktk Chelsea kwa sasa hakuna mchezaji mwenye uwezo mkubwa sn wa kupiga pasi nzuri na za mwisho zenye kufika kwa mlengwa km Ziyench.

Ningekua Mimi ni mwalimu wa Chelsea ningekua natumia mfumo huo huo wa 3+4+3 lkn Mimi kwa kumsaidia Ziyench ningepanga 3+5+2. Ziyench akacheza nyuma ya hao wachezaji 2 wa mbele ili aweze kutoa pass za mwisho...

Na huu mfumo huenda ukamsaidia ata Timo maana Chelsea inakua inacheza deep na kuwaruhusu timu pinzani kuwashambulia sn sasa wanaposhaimbulia Chelsea wanajikuta wanatengeneza magepu ya wazi ambayo ni mazuri Timo na Meson Mount....

Yaani hii 3+5+2 Conte alikua anaitumia sn Diego Costa na Hazard wakawa wanatililika tu ktk magoli ya adui....

Sasa kwa kumsaidia Ziyench ni bora asicheze Winger Bali acheze juu kidogo ya double six...
 
Ipi tofauti ya kiuchezaji kati ya Ziyech vs Marhez?
Marhez yeye anaweza kukokota mpira sn lkn sio mzuri ktk pasi....

Ziyench ni mzuri ktk kutoa pass sn lkn hana uwezo mkubwa kukokota mpira km Marhez....

Mimi naona Ziyench akicheza ktk dimba la kati juu ya double six anakuwa na uwezo wa kutupa passes kokote kule
 
Naam ni save ya Leo.... Kafanya save mbili balaa leo.. Moja hiyo ya post ya 90... Na ingine ya kati....

Mendy ni kipa mzuri sn tena mwenye uwezo mkubwa sn.

Mimi naona kuna haja ya TT kuangalia nafasi nzuri ya kumchezesha Ziyench kwsbbu ktk Chelsea kwa sasa hakuna mchezaji mwenye uwezo mkubwa sn wa kupiga pasi nzuri na za mwisho zenye kufika kwa mlengwa km Ziyench.

Ningekua Mimi ni mwalimu wa Chelsea ningekua natumia mfumo huo huo wa 3+4+3 lkn Mimi kwa kumsaidia Ziyench ningepanga 3+5+2. Ziyench akacheza nyuma ya hao wachezaji 2 wa mbele ili aweze kutoa pass za mwisho...

Na huu mfumo huenda ukamsaidia ata Timo maana Chelsea inakua inacheza deep na kuwaruhusu timu pinzani kuwashambulia sn sasa wanaposhaimbulia Chelsea wanajikuta wanatengeneza magepu ya wazi ambayo ni mazuri Timo na Meson Mount....

Yaani hii 3+5+2 Conte alikua anaitumia sn Diego Costa na Hazard wakawa wanatililika tu ktk magoli ya adui....

Sasa kwa kumsaidia Ziyench ni bora asicheze Winger Bali acheze juu kidogo ya double six...
🤝Na huenda akatumia hyo approach game ijayo na ATM maana tunamkosa mount n jorghino so huenda akasimama mbele ya kina kante na kovacic
 
Oky nashukuru kwa analysis, nimepata mwanga kidogo mechi ilikuwaje.

Tatizo la kutofunga magoli kule mbele halitapatiwa ufumbuzi kwa wachezaji hawa tulionao sasa hivi.

Pulisic, Ziyech, Harvetz, Werner, Tammy hawa wanastahili kutokea benchi SUB.

Tunamuhitaji striker aina ya Haaland pale mbele, tunahitaji mawinga wa kwendana na ugumu wa ligi ya EPL, hawa Pulisic, Harvetz, Ziyech wastage of time tuu.
Mkuu kwa game mbili zilizopita hizi havertz ameonyesha utofauti mkubwa

Na leo sio kama uiamara wa kipa wa leed havertz alikuwa anatoka na goal lake kama sio moja basi 2
 
Mimi naona Ziyech na Pulisic leo wameboresha quality yao tofauti na walipotoka majeruhi. Ni kwa sababu tu hizi mechi za mwishoni ni muhimu kwa top 4 ila Pulisic na Ziyech wanahitaji muda zaidi ili fitness iongezeke. Havertz leo kapooza kweli kweli na yeye ndie kiungo wa kupokea mipira mingi iliyokuwa inapotea, angekuwepo hapo Giroud hata Tammy tungepata goli. Pia umuhimu wa Alonso kwa mbele leo umeonekana. Chilwell yeye ni mkabaji zaidi. Nyuma na viungo leo wameendelea kucheza vizuri ball possesion ya 62% na on target 8 dhidi ya 4 ya Leeds sio haba. Tukirudi tutaanza na West Brom halafu Crystal Palace then Brighton Alvion, point 9 ziko hapo tufike 60
Katika hizo on target 8 nne zimetoka kwa havertz
 
Mechi kama hii ilimfaa sana Tammy Abraham
Yaani wewe kichwani ni mweupe sana, huyo Abraham hamna kitu anajua zaidi ya kurukaruka tu. Kocha nae bado hajielewi, kwa sasa pale mbele hakuna option nyingine zaid y giroud. Akimaliza out of top 10 akili ndio itamkaa sawa kulitambua hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom