Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Screenshot_20210309-192733.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20210309-192733.jpg
    Screenshot_20210309-192733.jpg
    46.5 KB · Views: 10
Hii timu ilitakiwa iwe inafukuzane na City kule juu na pengine kuwa juu ya City kama TT angekuwepo tangu mwanzo wa msimu
Kitulize we mang'aa, wewe si ndio ulikua unamteteaga mmeo Lampard.
 
Chelsea kuwakosa Jorghinho na Mount ktk game yao ya mardiano na ATM.


Nini mawazo yenu wanadau kutokana na hili?
 
TT avunja rekodi ya kuwa meneja wa kwanza wa Premium League kuiwezesha Chelsea kupata cleansheet ya tano mfululizo pale Stamford Bridge
 
Bado tuna kikosi kipana Kati atacheza kante na Kovacic mbele anaweza kucheza Ziyech au Kai?
Nikwel kabisa maana kovacic akicheza kwakwel mashambulizi yanakuaga yakutosha sana bado tu hatujapata watu wakujaribu kupiga mashuti ya mbali kidogo
 
Performance ya siku moja isirekebishe makosa yaliyopita
makosa n kwamba hakua anacheza sehem sahihi nw TT amejua sehem sahihi yuke n typ ya kina muller ananusa sehem za atar ukmchezesha mbal na box la wapnzan uez ona uwezo wake yule either 10 or false 9 ndo anakua better sasa FL alkua anampanga winger au 8[emoji43]
 
Wanawake wetu wako robo finali ya UEFA ya Wanawake baada ya kutoa droo jana ya 1-1 na Atletico Madrid (Agregate ni 3-1)

"Maren Mjelde's penalty ensured Chelsea moved into the Women's Champions League quarter-finals with a 3-1 aggregate win after Toni Duggan missed Atletico Madrid's third spot-kick of the tie."
 
Thiago Silva ampa maelekezo Zouma baada ya Chelsea kufunga goli la kwanza dhidi ya Everton. Wakati wachezaji wanashangilia goli nadhani Silva alikuwa akimwambia Zouma kwa kifaransa "Continue comme ça! et vigilante" in English "Keep it up! and be vigilant" kwa kiswahili "Kaza buti dogo na uwe macho"
Move ya Goli la kwanzaalilofunga Havertz kwa kumbabatiza beki wa Everton ilianzia kwa Zouma aliyetoa pasi nzuri kwa Odoi naye akawahadaa wachezaji wa Everton na kuzunguka na mpira kwa ufundi mzuri hadi akamweka kwenye radr Alonso ambaye naye kwa ustadi mkubwa alitoa pasi kwa Havertz aliyedono mpira kiufundi na kumbabatiza mpira beki wa Everton hadi nyavuni
1615428132076.png

The defender appeared to have spotted something in in the way Everton were playing, and it is thought he was telling the Frenchman to keep his concentration amid Chelsea's celebrations.
 
Nimeamini kuwa anayesababisha mchezaji aflop ni kocha,
Jesse Lingard mpaka akatungiwa majina ya ajabu ajabu kule kwa OGS lakini sasa kwa Moyes amekuwa mwiba wa hatari
 
Nimeamini kuwa anayesababisha mchezaji aflop ni kocha,
Jesse Lingard mpaka akatungiwa majina ya ajabu ajabu kule kwa OGS lakini sasa kwa Moyes amekuwa mwiba wa hatari
Kuna wachezaji wengine huw pressure za tim kubwa huwa hawaziwezi
Wakiwa tim ndogo ambazo hazina pressure huwa wanaperform vizur kwa sababu pressure sio kubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom