Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukweli ni huu, watakaoadhirika kule nyuma ni Rudiger na Zouma kwa form nzuri aliyonayo Christensen, huyu jamaa sio mzuri tu kwenye kukaba hata kwenye kupasi, mzuri na mtamu mno kwenye penetration passes.

Pia Alonso kule mbele amemuacha mbali sana Ben Chilwell, yaani Alonso alifaa angekuwaga tu ni Winga, anajua kutime mpira na kushambulia

Nakubaliqna na wewe [emoji817]%
 
Rudiger hachezi nafasi moja na Adrea Christiansen... Christiansen anacheza nafasi moja na Silva. Yaani ni beki wa kati ktk hao watatu.

Sema Zuma kuna wakati hua anacheza ktk beki wa kati kwa mabeki watatu. Ingawa ata kucheza pembeni kwa mabeki watatu Zuma anacheza km alivyocheza Leo.

Kwahiyo Christiansen lazima awe anapokezana na Silva. Kwahiyo kina Rudiger, Zuma wala hawato athirika. Maana kwa sasa TT anatengeneza kikosi kipana ili kuwapa nafasi wachezaji wote kucheza. Maana kwa Ratiba ilivyo yaani kila baada ya siku 4 unacheza game wachezaji wanachoka sana na kwa maana hiyo basi lazima upumzishe wachezaji na kuwapa nafasi wote ya kucheza ili kupata matokeo mazuri.

Emerson na Gilmour hawa ndio nafasi zao zitakua za shida.

Next game Kante Atapumzishwa km Leo na Babu Azpilicueta ataanzia benchi kwa ajili ya kukusanya nguvu dhidi ya ATM.... Christiansen na Rudiger wote hawa Watapumzishwa.
 
Chelsea taratibu inaanza kutatua tatizo la kufunga. Inatengeneza nafasi nyingi sn na on Target zinakua nyingi pia.

Timo game ijayo ataanzia benchi ili aje awauwe ATM... Game ijayo tutaanza Olivia Giroud. Mendy pia atapumzishwa aanze Keppa.

Mpk sasa Chelsea ina wachezaji 20 walio fiti kabisa kutupatia matokeo kila siku mazuri.

Golini kuna makipa wawili.

Kepa na Mendy.

Mabeki wako wanane...

Silva, Christiansen, Rudiger, Azpilicueta, Zouma, Alonso, Ben na James.

Viungo wako watatu wa nguvu.

Kovacic, Kante na Jorghinho.

Huko mbele sasa wako 7.

Kai, Mount, Ziyench, Odoi, Pulisic, Giroud na Timo.

Hawa wachezaji wote TT amewachezesha ktk game hizi 11 tangu aje hapo Chelsea na amewaona ubora wao na uzuri wao.

Hapo kz iko kwa Emerson, Tammy na Gilmour.

Lkn kwa sasa kwa sbbu tunashiri UEFA, FA na EPL tunacheza game nyingi sn kwa kikosi kilivyo kipana wachezaji hawatoweza kukutwa na uchovu.

Tumemaliza ratiba ngumu ya mechi sasa tunakwenda kua na games nyepesi ktk EPL.

Kuna dalili kubwa sn TT akamaliza msimu bila kufungwa game ata moja....
 
Rudiger hachezi nafasi moja na Adrea Christiansen... Christiansen anacheza nafasi moja na Silva. Yaani ni beki wa kati ktk hao watatu.

Sema Zuma kuna wakati hua anacheza ktk beki wa kati kwa mabeki watatu. Ingawa ata kucheza pembeni kwa mabeki watatu Zuma anacheza km alivyocheza Leo.

Kwahiyo Christiansen lazima awe anapokezana na Silva. Kwahiyo kina Rudiger, Zuma wala hawato athirika. Maana kwa sasa TT anatengeneza kikosi kipana ili kuwapa nafasi wachezaji wote kucheza. Maana kwa Ratiba ilivyo yaani kila baada ya siku 4 unacheza game wachezaji wanachoka sana na kwa maana hiyo basi lazima upumzishe wachezaji na kuwapa nafasi wote ya kucheza ili kupata matokeo mazuri.

Emerson na Gilmour hawa ndio nafasi zao zitakua za shida.

Next game Kante Atapumzishwa km Leo na Babu Azpilicueta ataanzia benchi kwa ajili ya kukusanya nguvu dhidi ya ATM.... Christiansen na Rudiger wote hawa Watapumzishwa.
Silva anacheza kati na pembeni, kuna uwezekano Silva akirudi kwenye fitness atacheza pembeni kushoto na Christansen akabakia katikati na Azpi akaendelea kucheza kulia, sasa Zouma na Rudiger watakuwa na muda mchache sana na bahati mbaya CB huwa hawabadilishwi mara kwa mara kama viungo na washambuliaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom