United ni miongoni mwa timu zinazofanya vizuri ugenini.Tuchel sio Lampard Ni kocha ambaye kimbinu yupo vizuri na anajua kutumia wachezaji waliopo vizuri alafu kumbuka tupo darajani nakushauri mzigo wako wake chelsea Kama unataka kupiga pesa usije baadae ukajuta
Lampard hakumtaka Kai, Werner, Sarr na Silva ndiyo maana alikua anawajaribu kila mahali, same kwa Tuchel kafika tu karesort kwenye 3 4 3 means bado hajajua Kai amuingizeje kwenye mfumo.
Ila nitabet kwenye live pia nikiona sielewi.
