ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,063
Hii team kwa kucheza na vibonde haijambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuuu acha miemumko wa fikra[emoji23][emoji23]
Man United 0 vs 1 sheff united.
Tena man U anafungwa na timu inayotaka kushuka Daraja yupo nafasi ya 20 kwenye Lingi. Lakini anafungwa uwanjani kwake bila Huruma[emoji23][emoji23][emoji23]
Sheff United 0 vs Chelseal 2
Bado unalakuongea au ulisahau na hili[emoji1426]