Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Wazeee wengi wakizidi hapendzi pancha zao zikianza ni hatari sanaUnauonaje huo usajili?
Wazeee wengi wakizidi hapendzi pancha zao zikianza ni hatari sanaUnauonaje huo usajili?
Kama hao vijana hawakupi kitu utafanyajeWazeee wengi wakizidi hapendzi pancha zao zikianza ni hatari sana
me nafikir tommori anatufaa zaid..!!Kama hao vijana hawakupi kitu utafanyaje
Tomori atakuja kuwa CB mzuri ila bado ana safari ndefu. Tukiwategemea watu kama akina Tomori tukubali kuwa kila mwaka tutakuwa tunapigania top 4 tu, huo ndio ukwelime nafikir tommori anatufaa zaid..!!
Tomori hajauzwa bado yupo kwa mkopoTomori atakuja kuwa CB mzuri ila bado ana safari ndefu. Tukiwategemea watu kama akina Tomori tukubali kuwa kila mwaka tutakuwa tunapigania top 4 tu, huo ndio ukweli
Walichokosea Chelsea tu ni kumuuza, angetolewa mkopo tu ikaishia hapo
Mko na Wagonga nyundo leo. Ngoja tuone. What will Zebra FC do?Hii team kwa kucheza na vibonde haijambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ni msimu huu tuu,maana msimu uliopita nilikutoa wewe...au wewe kibonde?Hii team kwa kucheza na vibonde haijambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo tomori kapewa nafasi lakini ameshindwa kudeliverme nafikir tommori anatufaa zaid..!!
Kivipi? Hakupewa nafasi kabisa msimu huu. Na uliopita alicheza vizuri tuHuyo tomori kapewa nafasi lakini ameshindwa kudeliver
Nathan ake yuwapi sikuhiziTutakuwa na wazee wengi kule nyuma kama Crystal Palace
Kwa nini Chelsea wasimsajili beki wa kumpa mkataba wa miaka minne au mitano. CB wa miaka 27 maximum anafaa
Wangemsajili Upecano 22 au Laporte, naona Man city wanamuweka benchi kwa sababu ya Dias ana miaka 26 hao watatufaa
Mkataba wa mkopo wake una kipengele cha kununua kwa mil 25, labda wao wakataeTomori hajauzwa bado yupo kwa mkopo
Sikuelewa kwa nini lampard hakutaka kumpa nafasi tomori kama alivyokuwa anawapa wengine hata wafanye makosa kiasi ganiTomori atakuja kuwa CB mzuri ila bado ana safari ndefu. Tukiwategemea watu kama akina Tomori tukubali kuwa kila mwaka tutakuwa tunapigania top 4 tu, huo ndio ukweli
Walichokosea Chelsea tu ni kumuuza, angetolewa mkopo tu ikaishia hapo
City hawawezi muuza Laporte, ni injury tu za mara kwa mara ndio zinamsumbuaTutakuwa na wazee wengi kule nyuma kama Crystal Palace
Kwa nini Chelsea wasimsajili beki wa kumpa mkataba wa miaka minne au mitano. CB wa miaka 27 maximum anafaa
Wangemsajili Upecano 22 au Laporte, naona Man city wanamuweka benchi kwa sababu ya Dias ana miaka 26 hao watatufaa
Lakini kwa uwepo wa Dias na Form nzuri ya John Stones, Laporte anaweza akalazimisha aende kwenye timu itakayompa muda wa kuchezaCity hawawezi muuza Laporte, ni injury tu za mara kwa mara ndio zinamsumbua
Lampard hakuwa kocha yule..alikuwa ni takatakaSikuelewa kwa nini lampard hakutaka kumpa nafasi tomori kama alivyokuwa anawapa wengine hata wafanye makosa kiasi gani