Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa hiyo unafikiri Lampard ana uwezo wa kutufikisha top4??! Achilia mbali UEFA.
Lampard sidhani kama na ugomvi wowote na wachezaji, ni uwezo tu wake wa ukocha ni mdogo. Ukiwa mtu wa kuangalia games za chelsea tu peke yake hautakaa ukaelewa.
Sikusema anao uwezo pia huna ushahidi kuwa hana ugomvi kwa sababu sio mpaka usemwe, Wachezaji kucheza kimlenda mlenda mlenda ni ushahidi kuwa hawakao pamoja ni swala la muda tu itakuja dhihirika.

Naangalia zote tena kwenye HD crystal clear. Kama ni timu yenye kucheza vizuri wakitaka ni Chelsea. Chelsea ina kandanda safi na zuri zaidi ya timu zote labda Leeds United tu ndio wanawazidi. Kama umecheki mechi na Crystal Palace, Spurs, Newcastle, Sevilla, Everton, Wolves, Aston Villa Chelsea walicheza mpaka raha. Mechi Chelsea ambazo hawakucheza vizuri ni zile za mwanzo wa ligi na Brighton, Liverpol na Westbrom, pia mechi hizi hatukucheza vizuri, Leeds, Arsenal, Man city na Leicester city juzi, mechi na Everton, Wolves tulifungwa ila tulicheza vizuri
 
Chelshit
20210121_095151.jpeg
 
Watatu hawa kumridhi Lampard, Mazungumzo ya kumtimua yameanza
Madai ni kwamba Lampard kapewa muda na hakuna hata dalili za mbinu zake kuleta matunda yeyote pale darajani

  1. Tuchel - Katika timu kubwa alishaifundisha Dotmund miaka miwili na PSG miaka miwili na nusu ligi ya wakulima wining %age ni 74 akiwa PSG
  2. Allegri amefundisha muda mrefu vitimu vidogo, Juve kifundisha miaka 5 na wining %age ya 70% akiwa Juve
  3. Avram Grant - Hana uzoefu wowote zaidi ya kuifundisha Chelsea 2007/8 na Westham 2010/11. Hakutoka Chelsea vizuri kwani wachezaji hawakumpenda kwa sababu ufundishaji wake ni wa kizamani mno miaka 25 iliyopita na hakuwa na mbinu zozote za kisasa kwa wakati huo wa 2007/8. Sasa tuko 2021, si atakuja na mbinu za miaka 40 iliyopita?
 
Arteta (Lampard) “I have known Frank for a few years and I spent some time with him and I would like the club to support him and give him a chance,”

Wenye akili timamu tunaposema lampard apewe muda muwe mnatuelewa.
Ukipinga tu, basi ushajijua akili zako zipoje
 
Tofauti ya Tushel na Lampard ni upara tu. Kwenye hiyo list afadhali Allegri wengine tia maji tia maji
 
Arteta (Lampard) “I have known Frank for a few years and I spent some time with him and I would like the club to support him and give him a chance,”

Wenye akili timamu tunaposema lampard apewe muda muwe mnatuelewa.
Ukipinga tu, basi ushajijua akili zako zipoje
Arteta siyo kwamba anamwonea huruma Lampard, ni kujenga huruma kwa makocha ambao timu zao hazifanyi vizuri sana kwani bundi hajatoka viunga vya Arsenal.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom