OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Toka hapaa takataka...Tunazika hapa hapa ama tunasafilisha?
Toka hapaa takataka...Tunazika hapa hapa ama tunasafilisha?
Lampard anafaa kufundisha timu kama arsenal siyo Chelsea kabisa.Ollachuga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#COYG
#COYG
Lampad baba lao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah Lampard ananipoteza kutamba huku jamiiforum [emoji25][emoji25]
Akiendelea kuwepo hapa Chelsea..mimi nitahamia rasimi Leicester.Lampad baba lao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Stay away from kujinyonga, bado tunakuhitaji sana
Kocha hajui chochote ukiangalia hata mpira wake ni cross juu ya cross na pass za pembeni
Mpira anaocheza yuko predictable na watu washajua,
Unamiliki possession ila hkuna chance unazocreate na wachezaji wa kucreat chances wapo, shida hapa sio wachezaji shida ni lampard
Akiendelea kuwepo hapa Chelsea..mimi nitahamia rasimi Leicester.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Hakuna unafiki, mwanzon ndio nilikuwa namtetea kutokana na hali iliyokuwepo ila kitu cha kujua mambo huwa yanabadilika, na si unafiki kutokana n mwenendo wa tim jinsi ulivyoAcha unafiki kipindi kile sisi tunamponda Lampard kuwa hafai kuifundisha Chelsea, wewe na wenzako si ndio mlikuwa msitari wa mbele Kumtetea. Leo hii ndio umegundua hafai, toka Mwanzo nilikuwa nawambia LAMPARD hafai kuifundisha Chelsea mkaniona mm sijui mpira wengine mpaka mkaniita plastiki fan
Tulia wewe sisi tutabeba UEFAHuu ndio uwezo wenu sasa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji25][emoji25][emoji25]Tuliaaaa dawa iingie View attachment 1681997
Mpaka hapo lampard atakapoondoka,when will we become champions again?
Muda wa kufanya nini????Lampard anatakiwa apewe muda Zaid [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tukimpata kocha mzuri tukashinda kama mechi 4 mfulilizo tunarudi kwenye title contender mchana kweupe.
Timu yetu ina wachezaji wazuri sana yaani tukipata kocha mzuri akawaorganize vizuri, akawapa confidence, akaboresha viwango vyao, formations, styles na mbinu bora za uchezaji mechi zilizobaki tungefanya vizuri.
----------------- Werner------------
Pulisic ---- Harvetz ---- Ziyech
----------Kante ----- Joginho ------
Chilwell ----Thiago --- Zouma --- James
SUB:- Giroud, Odoi, Glimor, Kovacic, Mount, Giroud, Emerson, Keppa
Hivi kwa kikosi hiki mpinzani gani anachomoka hapa. Lampard aache kututania kabisa.
View attachment 1682308
Lampard mitano tenaMuda wa kufanya nini????