Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu ole yupo kwenye learning curve msimu wa ngapi sasa maana ameshakuwa KOCHA kina lampard na arterta bado hawajastaafu!....na aliishusha drj Cardiff miaka km 7 iliyopita......bado tu yupo kwenye learning curve?

Vipi huko wazee wenzangu wa Chelsea
 
Kuna yeyote anaejua hali na usalama wa @olachuga .????
Nimesikia kuna mtu kajitoa uhai chuga kisa hiz mambo ya mpira

Hadi saa nane mchana nisipoona comment yake, ntaanza kuandika comment za kumrehemu kamanda wetu olachuga
 
Petr Cech akiwa anaondoka Arsenal alisema "Chelsea ina fighting spirit kubwa, timu ikipoteza mchezo ukiingia dressing room inakua ni kama kuna msiba, hua tunakua kimya. Ila Arsenal watu hucheka na huongea kama kawaida"

Chelsea ilifikiri inafungwa kisa Kepa, timu zimeshamiliki mapazia zaidi ya Kepa lakini hayo mapazia yalionekana yanajua mfano Valdes akiwa Barca. Naamini Mendy hatofikia rekodi ya Kepa akiwa Chelsea, Kepa ana stats nzuri, Mendy kashasahau kutamka neno clean sheet.

Ingawa Lampard hua anawatupia lawama wachezaji wake ila na yeye ajiangalie.

Veteran wa 4 3 3, Guardiola, kaabandon huo mfumo siku hizi anatumia 4 2 3 1. Klopp bado anautumia na unaona kinachotokea, possession kubwa, shots off target nyingi yet hawawezi create chances. Hii formation inataka attacking fullbacks wawe kama Trent wa msimu uliopita, na timu zisikujue kama msimu uliopita.

Timu zenye fullbacks wa kariba hiyo, Arsenal's Tierney, Brighton's Lamptey, Milan's Hakimi, Bayern's Davies hazichezi 4 3 3. Hii ilitakiwa iwashtue wakina Lampard ila jamaa bado, anaamini hii formation ndiyo muarobaini anaamini Werner ni mzuri akiwa lone striker au akiwa LW, Havertz akimuweka wide n.k. ila kaomba 200M nyingine ya usajili so msijali anaweza akageuza hii drama ya kutofunga timu za kuanzia wapi hadi wapi sijui.
Lampard hajui analolifanya.
 
Timu inamiliki mpira kwa zaidi ya 60% kila kipindi yet haipati magoli shida ni nini? Arsenal tulikua hivyo na tatizo ilikua hatufanyi runs na hatuna wa kutoa pasi.
Chelsea ina kila aina ya mchezaji. Wanadpfeli wapi? Lampard anasema ni kwavile wachezaji wake ni wavivu.

Narudia tena hata kwenye uzi huu. Kwa Arsenal top 4 is within reach. With AM we will be able to stretch enough for it.
Kocha hajui chochote ukiangalia hata mpira wake ni cross juu ya cross na pass za pembeni
Mpira anaocheza yuko predictable na watu washajua,

Unamiliki possession ila hkuna chance unazocreate na wachezaji wa kucreat chances wapo, shida hapa sio wachezaji shida ni lampard
 
Baada ya kufungwa jana amerudia alichorudia siku anafungwa na Arsenal. Akasema wachezaji ni wavivu, akalaumu beki wa kulia na na wa kati kwa magoli. Isipokua jana kaongeza kwa kusema mmefungwa na timu bora.

Amekumbushia kipindi kile mmecheza mechi 16 bila kupoteza, amekumbushia msimu uliopita mambo yalivyokua. Na amesema hajiuzulu kwakua anajua kudeal na pressure, hivyo kasema mashabiki wawe watulivu na wastay humble wakati anatafuta njia ya kuwatoa hapo.

Mimi hua nasema ukiona kocha anakumbushia mafanikio kipindi kama hichi ujue kashaishiwa mbinu. Hata Mourinho kabla hajafukuzwa United alikua anakumbushia jinsi alivyofanikiwa.

Halafu huwasikii wakina Drogba wakilalamika juu ya Lampard kuipeleka timu kushoto. Angekua kocha mgeni hapo ungesikia maneno.
 
Hata wale pundits wa kibritish wanakwambia apewe mda ila angekuwa kocha mwingine tofauti ambae si mwingereza kelele zingekuwa nyingi.

Mistake za kila mechi zinajirudia happ huweI sema wachezaj bali ni kocha ndio mbovu na hataki kubadilika

Wakina Di mateo & AVB walitimuliwa ila matokeo yao mabovu hayakufika hivi kama ya huyu kichwa maji, ila huyu kichwa maji mpaka sasa bado yupo
 
Yupo anachungulia tu.
Kuna yeyote anaejua hali na usalama wa @olachuga .????
Nimesikia kuna mtu kajitoa uhai chuga kisa hiz mambo ya mpira

Hadi saa nane mchana nisipoona comment yake, ntaanza kuandika comment za kumrehemu kamanda wetu olachuga
 
Kuna yeyote anaejua hali na usalama wa @olachuga .????
Nimesikia kuna mtu kajitoa uhai chuga kisa hiz mambo ya mpira

Hadi saa nane mchana nisipoona comment yake, ntaanza kuandika comment za kumrehemu kamanda wetu olachuga
Dah Lampard ananipoteza kutamba huku jamiiforum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom