! Kufungwa ni Moja ya Matokeo Matatu katika soccer..!!
!..! Kuna Muda najiuliza
! Je? Hatukusajili vizuri ama tatizo ni huyu KOCHA? Anyway Whatever the reason Chelsea tumeyumba vibaya huku big clubs ziki- recover mala baada ya kuanza vibaya Msimu.
!.?
! Dakika 20 za kipindi cha kwanza zilikuwa mwiba kwa upande wetu. City walituumiza vibaya mara mbili ndani ya hizo dakika 20 na wakaongeza bao la tatu kabla ya half-time. Dah
! Frank Lampard utatuuwa.
.Unaongea km hujui matatzo ya timu ykoCHELSEA 1-3 MANCHESTER CITY, Premier League: Post-match reaction, ratings.
By Mlanzi
Siku nzuri zitakuja! Kufungwa ni Moja ya Matokeo Matatu katika soccer..!!
Tuache hayo!..! Kuna Muda najiuliza
! Je? Hatukusajili vizuri ama tatizo ni huyu KOCHA? Anyway Whatever the reason Chelsea tumeyumba vibaya huku big clubs ziki- recover mala baada ya kuanza vibaya Msimu.
Nikiutazama usaji tulioufanya, nikimtazama Mwamba Thiago Silva, nikimcheck Edouard Mendy, nikimchabo Timo Werner napata kigugumizi kuamini hiki kinachotokea. Yes! Man City walikuwa kwenye mood sawa, Yes! Kevin de Bruyne na wenzake walikuwa kwenye form but how come tumeshindwa kupindua Meza huku tukiwa na Christian Mate Pulisic uwanjani na kwenye bench tukiwa na Oliver Jonathan Girou!.?
Anyway! Dakika 20 za kipindi cha kwanza zilikuwa mwiba kwa upande wetu. City walituumiza vibaya mara mbili ndani ya hizo dakika 20 na wakaongeza bao la tatu kabla ya half-time. Dah
! Frank Lampard utatuuwa.
Second half haikuwa mbaya kwetu na nasema haikuwa mbaya kutokana na kwamba hatukuruhusu bao Jingine. Kama haitoshi tulifanikiwa kutengeneza chance moja iliyozaa bao pekee lililofungwa na Callum Hudson-Odoi dakika ya 90+2 assist ikitengenezwa na Kai Lukas Havertz.
Wengi watakubaliana na Mimi kuwa Starting lineup iliyokuwa uwanjani ni lineup nzuri kabisa katika kikosi chetu. Ni jambo jema kumuona Hakim Ziyech akianza, huku Timo Werner akicheza kwenye position yake.
Subs zetu zilikuwa nzuri vile vile! Ambapo Callum Hudson-Odoi aliingia upande wa Hakim Ziyech, Billy Clifford Gilmour upande wa N'golo Kanté. Kai Lukas Havertz aliingia upande wa Mateo Kovačić na Team ikaanza kucheza ikitumia Formation ya 4-3-3. Inauma sana but siku nzuri zitakuja tu.
Chelsea imeruhusu mabao matatu ikiwa nyumbani katika Premier League ikiwa ni mara ya pili. Mara ya mwisho ilikuwa 3-1 dhidi ya Burnley mwanzoni mwa msimu wa 2017-18. Chelsea tunashuka mpaka nafasi ya saba katika msimamo wa League na kunauwezekano tukashuka mpaka nafasu ya kumi ama zaidi ya hapo.
Next up: tutawakaribisha Morecambe FC kwenye FA Cup Juma Pili Ijayo alafu Fulham away Ijumaa itakayofuata
KTBFFH
Nini TV.?? Umeme tu wenyewe hakuna..!Kwamba huko uliko hakuna TV????
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Usijitoe fahamu,wewe uwe nafasi ya 7 na Villa wawe nafasi ya ngapi?CHELSEA 1-3 MANCHESTER CITY, Premier League: Post-match reaction, ratings.
By Mlanzi
Siku nzuri zitakuja! Kufungwa ni Moja ya Matokeo Matatu katika soccer..!!
Tuache hayo!..! Kuna Muda najiuliza
! Je? Hatukusajili vizuri ama tatizo ni huyu KOCHA? Anyway Whatever the reason Chelsea tumeyumba vibaya huku big clubs ziki- recover mala baada ya kuanza vibaya Msimu.
Nikiutazama usaji tulioufanya, nikimtazama Mwamba Thiago Silva, nikimcheck Edouard Mendy, nikimchabo Timo Werner napata kigugumizi kuamini hiki kinachotokea. Yes! Man City walikuwa kwenye mood sawa, Yes! Kevin de Bruyne na wenzake walikuwa kwenye form but how come tumeshindwa kupindua Meza huku tukiwa na Christian Mate Pulisic uwanjani na kwenye bench tukiwa na Oliver Jonathan Girou!.?
Anyway! Dakika 20 za kipindi cha kwanza zilikuwa mwiba kwa upande wetu. City walituumiza vibaya mara mbili ndani ya hizo dakika 20 na wakaongeza bao la tatu kabla ya half-time. Dah
! Frank Lampard utatuuwa.
Second half haikuwa mbaya kwetu na nasema haikuwa mbaya kutokana na kwamba hatukuruhusu bao Jingine. Kama haitoshi tulifanikiwa kutengeneza chance moja iliyozaa bao pekee lililofungwa na Callum Hudson-Odoi dakika ya 90+2 assist ikitengenezwa na Kai Lukas Havertz.
Wengi watakubaliana na Mimi kuwa Starting lineup iliyokuwa uwanjani ni lineup nzuri kabisa katika kikosi chetu. Ni jambo jema kumuona Hakim Ziyech akianza, huku Timo Werner akicheza kwenye position yake.
Subs zetu zilikuwa nzuri vile vile! Ambapo Callum Hudson-Odoi aliingia upande wa Hakim Ziyech, Billy Clifford Gilmour upande wa N'golo Kanté. Kai Lukas Havertz aliingia upande wa Mateo Kovačić na Team ikaanza kucheza ikitumia Formation ya 4-3-3. Inauma sana but siku nzuri zitakuja tu.
Chelsea imeruhusu mabao matatu ikiwa nyumbani katika Premier League ikiwa ni mara ya pili. Mara ya mwisho ilikuwa 3-1 dhidi ya Burnley mwanzoni mwa msimu wa 2017-18. Chelsea tunashuka mpaka nafasi ya saba katika msimamo wa League na kunauwezekano tukashuka mpaka nafasu ya kumi ama zaidi ya hapo.
Next up: tutawakaribisha Morecambe FC kwenye FA Cup Juma Pili Ijayo alafu Fulham away Ijumaa itakayofuata
KTBFFH
Smartphone yako inajichaji?Nini TV.?? Umeme tu wenyewe hakuna..!
Smartphone yako inajichaji?
Mendy
Ziyech
Werner
Hawa wote tumepigwa
Mpumbavu kai
Huyu tumebutuliwa kmmk

Ha ha ha ha ha haHivi hatuwezi kujioganaizi umu tukaunda timu halafu tuombe friend match tucheze na chelsea
![]()
Ha ha haYanayovutia ni manati