mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,696
Yani hata double chance mnakosa kweli...????Chelsea Mungu awalaani Asee sio kwa mkeka huu naomba mbakie kwa hiyo nafasi yenu yaani hata top four msiioneView attachment 1667324




Yani hata double chance mnakosa kweli...????Chelsea Mungu awalaani Asee sio kwa mkeka huu naomba mbakie kwa hiyo nafasi yenu yaani hata top four msiioneView attachment 1667324




Yanakera sana yaaniYani hata double chance mnakosa kweli...????![]()
Wewe nae ulikuwa tahiraChelsea Mungu awalaani Asee sio kwa mkeka huu naomba mbakie kwa hiyo nafasi yenu yaani hata top four msiioneView attachment 1667324
Inasemekana kwenye baadhi ya source bodi wamefanya kikao kudiscuss issue ya lamps na wamessuggest potential replacementsChelsea wanacheza legelege, hawana motivation, uwezo wa wachezaji ni mkubwa sana, yawezekana kuna mgomo baridi, bodi ifanye maamuzi haraka
The athletics wanasema kuna msuguano kati ya lamps na baadhi ya wachezaji katika kikosi cha kwanzaChelsea wanacheza legelege, hawana motivation, uwezo wa wachezaji ni mkubwa sana, yawezekana kuna mgomo baridi, bodi ifanye maamuzi haraka

) yakuambiwa kwamba inabid tupambane hadi tone la mwisho la damu, wao hawalijui hilo!!!





















Kuimba kupokezanaMpira ni kutesa kwa zamu. Leo hii wale tuliyokuwa tukiwakejeli sasa wanatucheka.
Arsenal iliyokuwa ilipitia wakati mgumu sasa wako on fire wakicheka adi meno yote 32 yako nje.
Naamini Timu yangu pendwa Chelsea itakuja soon na wachezaji naamini watakuwa on fire.
Comeonechelsea2021![]()


Mpira ni kutesa kwa zamu. Leo hii wale tuliyokuwa tukiwakejeli sasa wanatucheka.
Arsenal iliyokuwa ilipitia wakati mgumu sasa wako on fire wakicheka adi meno yote 32 yako nje.
Naamini Timu yangu pendwa Chelsea itakuja soon na wachezaji naamini watakuwa on fire.
Comeonechelsea2021![]()
Arsenal walikufanya nini mkuu?, pongeza panapo stahili. Usihifadhi sana chuki, sio nzuri kiafya.Usiwe mjinga weweee! aseno kashinda mechi tatu tu ndio usema yuko moto?
Huo tunaita upepo wa kisurisuri utapita na watarudi walipo toka.
Subiri mechi ijayo utaamini maneno yangu.
Huyo jamaa kila akitukumbuka arsenal tulichomfanya anaweweseka Sana.... Maumivu hayajapoa.... Achana nayeArsenal walikufanya nini mkuu?, pongeza panapo stahili. Usihifadhi sana chuki, sio nzuri kiafya.
Chelsea aliyoachiwa ilikuwa mabingwa wa Europa na F. A..Morale ya wachezaj ipo down, kwaio wachezaji wabembelezwe na kocha!!
Ile mibaba mizima (ukimtoa mount na kai) yakuambiwa kwamba inabid tupambane hadi tone la mwisho la damu, wao hawalijui hilo!!!
Mnaosema lampard hana mbinu, au uwezo mdogo
Mnaikumbuka ile Chelsea aliyo achiwa hadi akatoboa top4. Au mlikua bado hamjaanza kufatilia mpira!!!
Sisi kama mashabiki wa arsenal tunataka lampard apewe muda na asipingwe